Namba 666 kitabu cha UFUNUO 13:18 si chapa ya mpinga Kristo kwa Biblia kama wasemavyo Wasabato

666 ni pure blacks melanin imeundwa na 6 protons 6 electrons na 6 neutron. Muafrika ndio mnyama anayesemwa hapo.
 
Mafundisho ya wasabato yapo clear Sana nadhani ndo the best katika Imani ya kikristo sehemu moja Tu huwa siwaelewi wao zaka ni 20% badala ya 10% na wanaweka imekuwa command... Japo jingine , skukuu za makambi skukuu ambazo hazina maana kabisa ila ni mradi wa upigaji wa wachungaj kupeana posho
 
Nimezaliwa kwenye familia ya baba mkatorik na mama msabato bahati nzuri baba alisoma seminari na wasabato kqma mnavyojua watu wa lesoni ila pamoja nq kushawishiwa na wasabato kubadili dhehebu nimebaki na ukatorik wangu sababu wasabato badala ya iuhubiri dini wamewekeza kushqmbulia wakatoriki zaidi wamesahau dini ni upendo unapomshqmbulia mtu mwingine kwa imqni yake tayari unafanya dhambi.
 
Mnyama atabaki kuwa Papa na yuko kazini usiku na mchana kuinjinia NWO.Hakuna andiko,chapisho,naoni,mtazamo kutoka kwa yeyote yule litakaloondoa ukweli kuwa Pope ndiye mnyama wa ufunuo.
Bado muda mfupi atahamishia makao yake makuu Jerusalem, na msikiti wa Al-aqsa utavunjwa hekalu litajengwa upya,na kinachofwata mnakijua.
 
Ukisoma ufunuo sifa za huyo 666:
1.Atabadili majira na nyakati
2.Atazuia watu kuuza na kununua

a.Kalenda tunayotumia leo ilitengenezwa na papa
b.katika dark ages za roma empire jumapili ilikuwa huruhusiwi kuuza na kununua..waliua watu wengi na wengine walikimbilia USA...Sasa wewe nambie Ellen white anafit vipi kwenye hizo sifa?
 
Nimezaliwa kwenye familia ya baba mkatorik na mama msabato bahati nzuri baba alisoma seminari na wasabato kqma mnavyojua watu wa lesoni ila pamoja nq kushawishiwa na wasabato kubadili dhehebu nimebaki na ukatorik wangu sababu wasabato badala ya iuhubiri dini wamewekeza kushqmbulia wakatoriki zaidi wamesahau dini ni upendo unapomshqmbulia mtu mwingine kwa imqni yake tayari unafanya dhambi.
Mitume walishambulia imani za miungu ya ajabu ajab na kuasa wakristo wakemee mafundisho ya kishetani au nikupe mafungu??

Yesu mwenyewe aliwashambulia mafarisayo.
Enyi wagalatia ni nani aliyewaroga?
 
Mafundisho ya wasabato yapo clear Sana nadhani ndo the best katika Imani ya kikristo sehemu moja Tu huwa siwaelewi wao zaka ni 20% badala ya 10% na wanaweka imekuwa command... Japo jingine , skukuu za makambi skukuu ambazo hazina maana kabisa ila ni mradi wa upigaji wa wachungaj kupeana posho
sijui ni kanisa gani hilo uliambiwa 20%...yote nayojua mimi ni 10%...kuhusu makambi ni sherehe tu ya kibiblia na siyo lazima...Chrismas ni sherehe ya kibiblia?
 
Nani hajui chimbuko la Roman Catholic! Huwezi tenganisha dola ya rumi na uovu wake na kanisa katoliki.Dola la Rumi ndio kanisa katoliki na kanisa katoliki ndio dola la rumi.Hakuna sababu ya kuukimbia ukweli,ili nini,mm mwenyewe Ni mkatoliki.
Pili,huwezi kumtenga Pope na namba 666 ya ufunuo.Pope yuko kazini km mpinga Kristi usiku na mchana.
 
NYIE PAMBANENI NA UNABII ILA KUMBUKENI CORONA INAUA HADI MASHEKHE NA WACHUNGAJI

HALAFU

CORONA INA HERUFI 6
UKIJUMLISHA HIZO HERUFI UNAPATA 66

UKIANDAKA NAMBA NZIMA UNAPATA 666

MSITUSUMBUE MAISHA YENYEWE MAGUMU
😂😂😂😂😂Daaah yaani mtu mzima amekaa anaandika UPUUZI ety 666 ellen mara papa umechekesha sana ndugu.
 
Upupu mtupu wajinga fulani wanatiana moyo unaanzaje kuujua ukweli uwe huru wakati bado una minyororo kichwani "dini", hii ni pumba tu siwezi poteza muda wangu kusoma gazeti special kwa makondoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom