Alipokuwa Simba tumefanya kipi kikubwa zaidi na kipindi ambacho hayupo?Chama alivoondoka Simba, hawajapata mchezaji mbunifu eneo la mwisho kama yeye au kuzidi yeye.
Ni nani alimuondoa Zambo halafu akalazimisha nileteeni Mligo. Nani pale Simba anamjua zaidi Neo Maema kuliko Fadlu?Sijawahi kuamini kuwa Fadlu amesajili hao wachezaji mwenyewe. Hajawahi kutamka hilo yeye mwenyewe, zaidi hayo maneno yanapenyezwa kwa wachambuzi na machawa wa viongozi ili mambo yakibuma wao wawe salama.
Siku mtu amuulize hilo swali uone atajibu nini. Hawezi kuwaponda ila atatoa jibu litakalokupa mwanga kuwa hayakuwa machaguo yake ya moja kwa moja.
Simba bado inazingua katika usajili na hata ikisajili wachezaji wenye potential, inashindwa kuwaendeleza. Kuna uzi nilisema, Simba imepoteza kujiamini na sasa inasajili na kuacha kwa maneno ya watu tu na kuridhisha mashabiki ili viongozi wajivue lawama ila ukiangalia kiundani kuna maamuzi mengi ya hovyo yanafanyika.
Sasa huyo Chama si amekuwepo kwenye mechi kama hizo nyingi tu za CAF hatua ya robo fainali na kushindwa kuwa hiyo x factor?Fadlu kasema bado anahitaji mtu mwe x factor za kuamua mechi, mtu ambaye alimkosa msimu uliopita hasa kwenye mechi ya fainali CAF na ile ya Yanga. Tafsiri yake ni nini hasa?
Ikitokea timu haijafikia malengo msimu huu kocha anacho cha kujitetea maana tayari alishaanza kusema mapema (anakosa mchezaji mbunifu pale mbele)Sasa huyo Chama si amekuwepo kwenye mechi kama hizo nyingi tu za CAF hatua ya robo fainali na kushindwa kuwa hiyo x factor?
Ni kweli Simba inakosa ubunifu eneo la kati, pembeni na mwisho. Ukiacha Mpanzu, inakosa watu wa kuforce mpira uende mbele bila kuupoteza. Juzi kwenye goli la Mpanzu kule Misri, pamoja na kuona clip ya dkk 1, niliona hilo tatizo bado lipo.
Ningekuwa mimi, hata Kibu ningeachana naye nikatafuta mchezaji aina ya Mpanzu wa ku patna naye.
Janshalewa anatakiwa atumie muda mwingi mazoezini kufanya mazoezi ya faulo. Kama ulichunguza, kuna kipindi hadi Valentine Nouma akaanza kuingilia faulo zake azipige yeye maana aliona nyingi anapoteza na kibaya zaidi anakuwa hayupo hata on target halafu anapenda kufunga mwenyewe. Chama kwa sasa angekuwa na faida eneo hilo ila wakimrudisha watapata shida tena ya kuanza kutafuta replacement yake baada ya mwaka. Ni vizuri kuendelea kujaribu hawa wapya au kutafuta wengine hadi apatikane mtu sahihi.
Alichosema Fadlu kipo wazi na kinaeleweka. Kumjua mchezaji haimaanishi yeye ndiyo amemleta.Ni nani alimuondoa Zambo halafu akalazimisha nileteeni Mligo. Nani pale Simba anamjua zaidi Neo Maema kuliko Fadlu?
Huyo Fadlu atakuwa kashiriki huu usajili kwa asilimia kubwa sana vinginevyo angekataa Neo Meama asiletwe badala yake angelazimisha aletwe namba 10 mwingine.
Au inawezekana Fadlu anamaanisha kitu kingine sisi wapenzi wa mpira na waandishi tunabishana kitu kingine. Aliya karibu na Fadlu atusaidie kumuuliza alikuwa ana maana gani ili mjadala ufungwe kwa wapenda michezo wote nchini maana sasa hivi ni kama katuchanganya kabisa.
Hilo liko wazi na yuko sahihi kulisema wazi ili wasije kumlaumu baadae. Mimi nilimkataa Morice, nikamkataa Sowah. Hata huyo Mwalimu sijaona ubora wake.Ikitokea timu haijafikia malengo msimu huu kocha anacho cha kujitetea maana tayari alishaanza kusema mapema (anakosa mchezaji mbunifu pale mbele)
Yani hata mimi nilivurugwa baada ya kusikia anasema anakosa mchezaji mbunifu pale mbele, sasa huyo Maema amesajiliwa na nani pale Simba?Ni nani alimuondoa Zambo halafu akalazimisha nileteeni Mligo. Nani pale Simba anamjua zaidi Neo Maema kuliko Fadlu?
Huyo Fadlu atakuwa kashiriki huu usajili kwa asilimia kubwa sana vinginevyo angekataa Neo Meama asiletwe badala yake angelazimisha aletwe namba 10 mwingine.
Au inawezekana Fadlu anamaanisha kitu kingine sisi wapenzi wa mpira na waandishi tunabishana kitu kingine. Aliya karibu na Fadlu atusaidie kumuuliza alikuwa ana maana gani ili mjadala ufungwe kwa wapenda michezo wote nchini maana sasa hivi ni kama katuchanganya kabisa.
Tatizo la pale simba ni hizo kamati za Usajili, watu wameweka 10% mbele kuliko maslahi ya timu. Wanasajili kizamani sana.Alichosema Fadlu kipo wazi na kinaeleweka. Kumjua mchezaji haimaanishi yeye ndiyo amemleta.
Mchezaji pekee alimtaja waziwazi ni Feisal, mbona hawajamletea?
Hawa wengine wanawaleta ili tu waonekane wanafanya na ni rahisi kumtwisha mzigo wa lawama Fadlu maana inaonekana ana historia nao ila hakuna aliyewahi kuona ripoti yake ya mwaka, yanabaki tu maneno ya watu wa pembeni.
Hii trick ya kusema fulani ni pendekezo la kocha inatumika kila msimu na viongozi halafu hamshtuki.
Wanasajili kizamani mno. Nadhani hata mambo ya viongozi au watu binafsi kuleta mchezaji na labda kuahidi kumlipia bado yapo ndiyo maana hata mchezaji akiboronga wanapata shida kuachana naye.Tatizo la pale simba ni hizo kamati za Usajili, watu wameweka 10% mbele kuliko maslahi ya timu. Wanasajili kizamani sana.
Kuhusu kufanya kikubwa kipi, rejea mechi ya SIMBA vs NKANA, SIMBA vs AS VITA. Rejea mechi ya SIMBA vs STELLENBOSCH (ile nafasi ya AHOUA).Alipokuwa Simba tumefanya kipi kikubwa zaidi na kipindi ambacho hayupo?
Kocha amesajili wachezaji aache usanii wake kwamba bado hajapata namba 10 wa kuamua mechi.
Phiri ange tufaa sanaNi sahihi bado hatujapata namba 10 wa kutema mate kushoto na akapita kulia, ikishindikana amjaribu na mpanzu.. ana skills za namba 10 shida anapenda sana mbio, kitu kinachomfanya aonekane ni winger zaidi ya AM
Kwa ufupi sana.
Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu.
Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na kutengeneza nafasi ndani ya 18.
Clatous Chota Chama bado anao uwezo wa kufanya mambo makubwa pale simba "kiufundi zaidi".
Mrudisheni CHAMA
Hiyo ndiyo shida kubwa ya Simba, ile inayojiiya bodi ya wakurugenzi (Friends of Simba ya zamani) ni tatizo kubwa pale Simba.Wanasajili kizamani mno. Nadhani hata mambo ya viongozi au watu binafsi kuleta mchezaji na labda kuahidi kumlipia bado yapo ndiyo maana hata mchezaji akiboronga wanapata shida kuachana naye.
Daah yaani issue ya Phiri ndiyo nikaikatia tamaa kabisa Simba.Phiri ange tufaa sana
Unatakiwa uangalie katika kipindi chake timu ilifika wapi. Ni kweli Chama alikuwa na hayo matukio ila Simba ilifika wapi? Si ilifika wakati ikaonekana haiwezi kuvuka hatua ya robo fainali. Pamoja na kwamba hiyo hatua ni ya kujivunia ila ilionekana uwezo wa wachezaji waliopo ni kuifikisha pale na siyo zaidi.Kuhusu kufanya kikubwa kipi, rejea mechi ya SIMBA vs NKANA, SIMBA vs AS VITA. Rejea mechi ya SIMBA vs STELLENBOSCH (ile nafasi ya AHOUA).
Fadlu anatafuta kichaka cha kujifichia ila ameshindwa kuunganisha timu anabaki kumtegemea AhouaKwanza nashangaa sana mtu kusema anataka mchezaji tena kwa jina, kocha yoyote kiufundi huwa hataji jina anataka vigezo. Kocha kusema mchezaji x-factor anahitajika sio kwamba hao aliona hawafai naamini ni katika kuongeza options. Mechi zina game plans tofauti endapo moja ikifeli atumie nyingine. Kwanza nampongeza sana kocha kutaja moja kwa moja x-factor kwa maana mchezaji zaidi ya Mutale (maana sio Tu anatajwa kukatwa hata Sisi hatuelewi anafanya nn pale sasa hivi). Mchezaji wa vipindi virefu vya ujinga na vichache mno vya faida ni upuuzi kubaki nae.
Okello yes ingawa nna mashaka sana, anacheza soft sana yule dogo sijui Kama ataweza mechi za undava/ngumu
Kwa uwezo wa wachezaji waliopo Simba kwa sasa na ukamuongeza mchezaji kama CHAMA anaweza kukupa kitu cha ziada chenye thamani zaidi kwenye mechi.Unatakiwa uangalie katika kipindi chake timu ilifika wapi. Ni kweli Chama alikuwa na hayo matukio ila Simba ilifika wapi? Si ilifika wakati ikaonekana haiwezi kuvuka hatua ya robo fainali. Pamoja na kwamba hiyo hatua ni ya kujivunia ila ilionekana uwezo wa wachezaji waliopo ni kuifikisha pale na siyo zaidi.
Kwa sababu hiyo uliyotaja basi tusiseme yeye ndiyo amewaleta hao kina Maema na Mlingo maana hajawahi kutamka kuwataka.Kwanza nashangaa sana mtu kusema anataka mchezaji tena kwa jina, kocha yoyote kiufundi huwa hataji jina anataka vigezo. Kocha kusema mchezaji x-factor anahitajika sio kwamba hao aliona hawafai naamini ni katika kuongeza options. Mechi zina game plans tofauti endapo moja ikifeli atumie nyingine. Kwanza nampongeza sana kocha kutaja moja kwa moja x-factor kwa maana mchezaji zaidi ya Mutale (maana sio Tu anatajwa kukatwa hata Sisi hatuelewi anafanya nn pale sasa hivi). Mchezaji wa vipindi virefu vya ujinga na vichache mno vya faida ni upuuzi kubaki nae.
Okello yes ingawa nna mashaka sana, anacheza soft sana yule dogo sijui Kama ataweza mechi za undava/ngumu
Makocha wanapitia mambo mengi amabayo wakiyasema unaweza ukashangaa. (Hasa hawa wanaofundisha Simba & Yanga za Tanzania)Kwa sababu hiyo uliyotaja basi tusiseme yeye ndiyo amewaleta hao kina Maema na Mlingo maana hajawahi kutamka kuwataka.
Mwisho wa siku akitaja vigezo akaletewa hao alioletewa, anaweza kuwaambia viongozi kutoridhishwa nao ila nje ya hapo akaamua kukaa kimya na kusonga nao mbele hata kama hajawakubali. Ile ni ajira, hawezi kila siku kukataa wachezaji, ataonekana hajitambui.