Hata kwangu huwa naiona hiyo namba, huwa nashangaa kuiona na simu ninakaa nayo muda wote, sikuweza kuifuatilia niliitoa kwenye divert call lakni baada ya muda inarudi. Inajidivert kwenye line ya voda.Salaam Wakuu,
Hii namba 0754125125 - JOSEPHINE KABUNGA) imekuwa ikijileta kwenye setting za simu yangu automatically kwa ajili ya ku-divert Calls when unreachable! Nikiiondoa baada ya muda inarudi!
Wataalamu naombeni cha kufanya maana nikijaribu hata kuipiga haipatikani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Nimefanya hivyo, ngoja nicheki kama itajirudia tena ili niweke diversion iwe namba yangu!Jaribu kuweka no yako au cancell all divertion.
Tumia ##002# alama ya kupiga
Aisee, fuata maelekezo kama wanavyotoa wataalamu, otherwise utakuwa unafuatiliwa mawasiliano yako!Hata kwangu huwa naiona hiyo namba, huwa nashangaa kuiona na simu ninakaa nayo muda wote, sikuweza kuifuatilia niliitoa kwenye divert call lakni baada ya muda inarudi. Inajidivert kwenye line ya voda.
Kipindi hiki naona voda wanadukuliwa sana, kuna tapeli huwa anawatapeli watu wanaotumia line za voda anakutumia sms inakuja kama ya M-pesa, sms hiyo inakuwa na namba halafu anakupigia kwa namba ya kawaida anasema anatokea voda anakuuliza kama umepokea namba ya bahati kupitia m-pesa, kitakachofata hapo ni kutapeliwa.Aisee, fuata maelekezo kama wanavyotoa wataalamu, otherwise utakuwa unafuatiliwa mawasiliano yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
hii nmba kitambo ilikuwa inatumika kuwajulisha wateja watu waliowapigia wakiwa offline..Salaam Wakuu,
Hii namba 0754125125 - JOSEPHINE KABUNGA) imekuwa ikijileta kwenye setting za simu yangu automatically kwa ajili ya ku-divert Calls when unreachable! Nikiiondoa baada ya muda inarudi!
Wataalamu naombeni cha kufanya maana nikijaribu hata kuipiga haipatikani!
Sent using Jamii Forums mobile app
poleni Wakuu
Mimi pia nime note kitu icho kwenye namba yangu ya voda baada ya watu kuwa wanalalamika kila wakinipigia anapokea mwanamke. Namba iyo iyo kama uliyoandikaSalaam Wakuu,