Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Hiki ni kibwagizo changu ambacho nakitumia sana hapa JF,tatizo ni kwamba baadhi ya watu wangu wa ukweli wananishauri nisiwe nakiandika na wengine wananishauri niendelee kukiandika,sasa niko kwenye wakati mgumu wa kuchukua maamuzi.
Je,wewe unapendeleaje?
Nalog off
hahahahah,huku niliko mimi ndio tunaamka sasa hivi,kwani kila swali lazima ujibu? kama hujalipenda lipotezee,halafu wewe un aumia nini seva ikijaa.
Nalog off
Sibebi Box mpaka nakufa,wewe sasa ndio unayeijaza hiyo seva unayoiona ya maana sana kwa kujibu hili swali ambalo unaliona la kipuuzi,bora ukae kimya.
Nalog off
Hakuna noma kaka nimempotezea.Boss Washawasha,usihangaike na Kigogo,kikimpandaga anakuwaga hvo hvo!
Btw mi napenda kibwagzo chako,"na log off"
kama "MIA" ya figganigga, TIBA ya Tiba, "MIZAMBWA,INANIUMA SANA" ya mizambwa,Pasco ya Pasco na wengne!
Ngoja na mimi nitatafuta yangu.
nimepata wakati mgumu kusoma maandishi yako ila nimekuelewa.Hii, kitu ya kushinda ukisesema nalogg off husinya si haba. Venye unataka advice, naonelea uavhane nayo kabisaaa, inakufanya ukae ---- flani. Unajua kulog off ni kujitoa kwa mtandao. Sasa kama wewe unadema hivo na still uko online, then what is the essence? Reconsider your stand,,
Hii, kitu ya kushinda ukisesema nalogg off husinya si haba. Venye unataka advice, naonelea uavhane nayo kabisaaa, inakufanya ukae ---- flani. Unajua kulog off ni kujitoa kwa mtandao. Sasa kama wewe unadema hivo na still uko online, then what is the essence? Reconsider your stand,,
Hivi ilikuaje ukanusurika kwenye oparesheni Kimbunga!?
Naomba uniuzie hicho kibwagizo????
alikwenda kwa mganga.Hivi ilikuaje ukanusurika kwenye oparesheni Kimbunga!?
hakuna shaka ngoja niangalie mchakato wa M-pesa.Naomba uniuzie hicho kibwagizo????
stress zimemponza.
bora ufanye hivyo.teh teh teh...
nalog off