Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 51
Dada yamenikuta sina hata nguvu ya kusema........ huweziamini hapa niko natiririkwa na machozi ka bomba la mvua! Sijui nifanye nini wala nianzie wapi!
Fidel .......... shukuru MUNGU hayajakukuta ndugu yangu !
Mi hata pole sikupi iwa nawaambia mambo ya kukulupukaga kuolewa kwa vile jamaa kafika bei athari zake ndo hizi watu waliluka luka na kunywa siku ya harusi leo wamekuachia matatizo hawapo tena wanaendelea na hamsini zao.
Nitakupa ushauri baadae.
Bora yangekuwa hayo dada!
Hivi ulishawahi kuwa na mwenzio ukahisi kuwa anaregret kuwa na wewe (hisia zako tu) halafu siku ikatokea akakwambia tu out of no where- we do not have future? Halafu baada ya sentence hiyo akwambie chagua chochote utakacho uchukue halafu baada ya hapo husikii tena sauti yake?
Mbaya zaidi wewe uwe bado unampenda!
Nakwambia hii ndo solution lakini hakikisha kipoozeo mnaenda kupima ili nawe uwe na uhakika na unachokitafuna.
Unaelewa nini maana ya mapenzi?
Si unataka usuuze nafsi na moyo wako uburudike basi hiyo ndo solution mbona yeye anasuuzika huko ambako hukujui?
hehehehe utajuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu.
Pole sana dadaake,haya ndo maisha ndugu yangu na huu ndo ukubwa.Kama nilivyosema hapo mwanzo bado umakini unatakiwa,pia angalia sana hisia zisitawale maamuzi yako.Busara na uhalisia wa mambo utawale maamuzi yako kwani wewe ndo unajua umeumia kiasi gani na penzi lako limeharibika kiasi gani unajua vizuri wewe.Muhimu zaidi,jipe muda ili uweze kuzichambua option zote zilizopo.Na mwisho kabla haujaamua kulivua pendo ni vizuri ukawashirikisha waliokutangulia kuliona jua.
Kweli Fidel natamani kurudisha siku nyuma....... ungekuwepo si ungenishauri vema wakati ule kaka yangu?
Mi hata pole sikupi iwa nawaambia mambo ya kukulupukaga kuolewa kwa vile jamaa kafika bei athari zake ndo hizi watu waliluka luka na kunywa siku ya harusi leo wamekuachia matatizo hawapo tena wanaendelea na hamsini zao.
Nitakupa ushauri baadae.
haaa ucjute kiac hicho mpaka cha kutaka kurudisha cku nyuma MJO jamani, naomba nikuulize mmeshatengana au upo kwenye process?...kama ngumu nijibu pm
MJ1, hapo ndo napopashindwa kupaelewa, thats not possible katika hali ya kawaida..isije akawa amekuendea kwa kalumanzila (Mungu aepushie mbali)
Pole sana, lakini sidhani kama huo ni upendo.....huo ni utumwa, the earlier you abolish it the better
Kweli Fidel natamani kurudisha siku nyuma....... ungekuwepo si ungenishauri vema wakati ule kaka yangu?
ma luv Fidel sio wote wanaolewa wamekurupuka, mapendo ya leo sio ya kesho, na kutendana kupo maishani ni kufunga kibwebwe tu.
Mwanajamii ushauri wangu ni huu.
Jaribu kuchunguza yafuatayo ndo kiini cha gogolo hilo.
1.FINANCIAL FACTOR
2.BED ROOM FACTOR
3.RELATIVES FACTOR.
Ndoa nyingi matatizo yanaanzia hapo juu.
Mwanajamii ushauri wangu ni huu.
Jaribu kuchunguza yafuatayo ndo kiini cha gogolo hilo.
1.FINANCIAL FACTOR
2.BED ROOM FACTOR
3.RELATIVES FACTOR.
Ndoa nyingi matatizo yanaanzia hapo juu.
Mpwa umeoa?
Hatujatengana kwa sababu mwenzangu hajatamka hilo ila actions zake tu zainadhihirisha kuwa hanihitaji tena. Tuko pamoja kama vile tunategeana nani aanze ili lawama ziwe juu yake. Cha moto nakiona .... ndo maana nafikiria bora tu niamue mimi potelea mbali lawama ili nisiendelee kuteseka