Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,310
No please, sema walimerge thread afu wakaedit thread yangu. Ndio maana huwezi kuona thread yangu ya mwanzi isipokuwa comment zake tu.
uko vizuri mkuuMie nafikiri cha kwanza ni kuwa makini na maamuzi yako.Je ni kweli its the time to quit.Pia ni vizuri ukazungumza na hisia zako,je ni kweli hakuna utakachokuwa ukikimiss baada ya kulivua pendo na kama kipo je hauwezi kucompromise na maudhi unayoyapata.Yaani ukavumilia maudhi huku unapata unachokihitaji,kwani ndivyo maisha yalivyo.Mwisho usijekujaribu kupingana na hali halisi,if its over,it is.Ingawa katika uzoefu wangu nimegundua kutengeneza penzi imara is a process,Iam sure you know it my sister.
Pole sana dadaNdahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah
Mkuu Uko na maamuzi fasta sanaLivue tu maana haya mapenz hayana maana
Yametimia... Na pazia la hekalu likapasuka naye akasema YAMETIMIA.
Mkuu, popote ulipo nakutafuta. Najua upo hapa JF, njoo PM. Naamin huu ujumbe utafikishiwa.. Nmekukumbuka sana...Fidel .......... shukuru MUNGU hayajakukuta ndugu yangu !
Shinda kwenye nyumba za ibada. Utapata new direction, new purposeHabari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....
Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)
Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema
Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
Hahahaha Mzee wa 100 umefukua makaburi babu Asprin unaitwaMkuu, popote ulipo nakutafuta. Najua upo hapa JF, njoo PM. Naamin huu ujumbe utafikishiwa.. Nmekukumbuka sana...
Nakuitika labeka.... kunani hapa?
Kitukuu chako kinasalimu makaburi amekuita ukawashe mshumaaNakuitika labeka.... kunani hapa?
Hahahaha hawa wajukuu hawana adabu
Hahaaaa... Nimekumbuka mbali sana. Najua ananisoma..
Bado siamini kama anawsza potea kiasi hiki. Kwani sisi wafuasi wake ndo tumemkosea hadi atuadhibu kiasi hiki? Anayemfahamu amwambie namtafuta.Mwanajamiione kapotea
Bado siamini kama anawsza potea kiasi hiki. Kwani sisi wafuasi wake ndo tumemkosea hadi atuadhibu kiasi hiki? Anayemfahamu amwambie namtafuta.
Mromboo vyuma vina grease anasema tumbo halina mfupaHahahaha hawa wajukuu hawana adabu
Mromboo hajambo au naye vyuma vimekaza?