Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,507
- 4,697
Hiyo ndio balaa ya utawala wa chama kimoja.Wasalaam.
Kama taifa ni kama tumepoteza dira na matumaini kwani miongoni mwetu tunaishi na manung'uniko, visasi, uhasama, dhulma, na kuombeana hata vifo na kupambikiana kesi za kipuuzi. Ukweli mchungu ni kwamba chama cha mapinduzi ndio kimetufikisha hapa tulipo na tunakaribia njia panda.
Angalia yanayomkuta Gwajima na Slaa, kumbuka yaliyomfika Kigoma Malima na Mwakyembe.Nchi inayoua viongozi wake kisa ni wazelendo unajiuliza hili ni taifa gani? RIP JPM!. Na kibaya kuliko vyote eti wanawaambia watanzania kuweni wazalendo kwa nchi yenu ..ili kesho wakuue
Hii nchi imeshapoteza dira,Ni nchi pekee Rais anazungumza na hakuna anayemsikia wala kujali.Wasalaam.
Kama taifa ni kama tumepoteza dira na matumaini kwani miongoni mwetu tunaishi na manung'uniko, visasi, uhasama, dhulma, na kuombeana hata vifo na kupambikiana kesi za kipuuzi. Ukweli mchungu ni kwamba chama cha mapinduzi ndio kimetufikisha hapa tulipo na tunakaribia njia panda.
Nasema ccm ndio wametuchimbia shimo kubwa kwa sababu moja tu, wametunga sheria kandamizi dhidi ya raia ambazo zinatesa na kuleta upendeleo kwa maslahi ya kundi fulani ndani ya ccm. Mfano wa sheria kandamizi ni kama hii ya tozo kwenye simu na hii ya kodi ya jengo kwenye luku, maana hapa mpangaji ndo anaelipia mwenye nyumba.
ccm hawa ndo wametufikisha hapa.
Ccm hawahawa wamezuia upatikanaji wa katiba ya wananchi kwani iliopo ni chama kimoja ambayo waliotunga hawafiki watu mia moja, na inawanufaisha viongoz walafi wa ccm ambao wamejiwekea kinga ya kutoshtakiwa milele hata wakiiba au kuua raia.
Hitimisho: Watanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa na hakuna wakuokoa katika hili jla sisi wenyewe tutakaporudiwa na ufahamu, kwani ni kama tumezimia tumepoteza fahamu.
safi, ninyi ndo wanawake wa kuoa, kama hutojali njoo pm tuyajenge mrembo.Wasalaam.
Kama taifa ni kama tumepoteza dira na matumaini kwani miongoni mwetu tunaishi na manung'uniko, visasi, uhasama, dhulma, na kuombeana hata vifo na kupambikiana kesi za kipuuzi. Ukweli mchungu ni kwamba chama cha mapinduzi ndio kimetufikisha hapa tulipo na tunakaribia njia panda.
Nasema CCM ndio wametuchimbia shimo kubwa kwa sababu moja tu, wametunga sheria kandamizi dhidi ya raia ambazo zinatesa na kuleta upendeleo kwa maslahi ya kundi fulani ndani ya CCM. Mfano wa sheria kandamizi ni kama hii ya tozo kwenye simu na hii ya kodi ya jengo kwenye luku, maana hapa mpangaji ndo anaelipia mwenye nyumba.
ccm hawa ndo wametufikisha hapa.
CCM hawahawa wamezuia upatikanaji wa katiba ya wananchi kwani iliopo ni chama kimoja ambayo waliotunga hawafiki watu mia moja, na inawanufaisha viongoz walafi wa CCM ambao wamejiwekea kinga ya kutoshtakiwa milele hata wakiiba au kuua raia.
Hitimisho: Watanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa na hakuna wakuokoa katika hili jla sisi wenyewe tutakaporudiwa na ufahamu, kwani ni kama tumezimia tumepoteza fahamu.
kijana unahitajika uripoti central kusaidia mahakama kwa upelelezi na ushahidi zaidi.Nchi inayoua viongozi wake kisa ni wazelendo unajiuliza hili ni taifa gani? RIP JPM!. Na kibaya kuliko vyote eti wanawaambia watanzania kuweni wazalendo kwa nchi yenu ..ili kesho wakuue
Aliuliwa au alikufa kwa ujinga wake wa kudharau corona?Nchi inayoua viongozi wake kisa ni wazelendo unajiuliza hili ni taifa gani? RIP JPM!. Na kibaya kuliko vyote eti wanawaambia watanzania kuweni wazalendo kwa nchi yenu ..ili kesho wakuue
Mzalendo gani wakati nae alikuwa muuaji huku akipora mali ya umma?Nchi inayoua viongozi wake kisa ni wazelendo unajiuliza hili ni taifa gani? RIP JPM!. Na kibaya kuliko vyote eti wanawaambia watanzania kuweni wazalendo kwa nchi yenu ..ili kesho wakuue
Samahani.Wasalaam.
Kama taifa ni kama tumepoteza dira na matumaini kwani miongoni mwetu tunaishi na manung'uniko, visasi, uhasama, dhulma, na kuombeana hata vifo na kupambikiana kesi za kipuuzi. Ukweli mchungu ni kwamba chama cha mapinduzi ndio kimetufikisha hapa tulipo na tunakaribia njia panda.
Nasema CCM ndio wametuchimbia shimo kubwa kwa sababu moja tu, wametunga sheria kandamizi dhidi ya raia ambazo zinatesa na kuleta upendeleo kwa maslahi ya kundi fulani ndani ya CCM. Mfano wa sheria kandamizi ni kama hii ya tozo kwenye simu na hii ya kodi ya jengo kwenye luku, maana hapa mpangaji ndo anaelipia mwenye nyumba.
ccm hawa ndo wametufikisha hapa.
CCM hawahawa wamezuia upatikanaji wa katiba ya wananchi kwani iliopo ni chama kimoja ambayo waliotunga hawafiki watu mia moja, na inawanufaisha viongoz walafi wa CCM ambao wamejiwekea kinga ya kutoshtakiwa milele hata wakiiba au kuua raia.
Hitimisho: Watanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa na hakuna wakuokoa katika hili ila sisi wenyewe tutakaporudiwa na ufahamu, kwani ni kama tumezimia tumepoteza fahamu.