mkuu akija huko ndo atafanya hayo yote.
Kama anawathamini watu wa Moshi, hahitaji kuwa mbunge kuyafanya hayo. Kwani kipi kinamzuia kuyafanya kabla hajawa mbunge?
Sina ubaya na Mosha, ila nakosoa kasumba ya ngozi nyeusi kujenga nyumba ya ghorofa 3 ya kuishi wakati ana mke na watoto wawili tu. Vyumba vingine anaishi nani? Hii ni lugha ya picha, maana yake badala ya kujenga mahekalu ya kuishi tunaweza kujenga hospitali kubwa au shule tukaajiri watanzania wenzetu na tukapata pesa zaidi maana huo ni uwekezaji wakati jumba la kuishi ni liability. Badala ya kununua 'car toys' angejikita katika kubadilisha maisha ya watanzania na wana Moshi kwa kuwekeza KILA SENTI anayopata. Mambo ya Lamborgini angewaachia watukutu na wasio na majukumu kwa jamii zao kama kina Baloteli.
Chris Rock anasema Niggers spend money like the shit is gona rot-yaani weusi tunatumia hela kana kwamba usipozitumia zitaoza. Mfano mzuri ni Mayweather-100 cars, private jets,etc. Sasa mtu gari mia za kutembelea za nini? Kuna ngozi nyeusi inayokula hela ya babu yake (kwamba bado hajaanza kula za baba yake na zakwake anazozalisha) kama wahindi, wazungu? That is why black people can only get rich, but never wealthy!
So anaahidi kuifufua timu ya Ushirika stars (aka Washirika) akiupata ubunge. Mwambieni Kaka (mhindi) aliifadhili Tukuyu Stars (Banyambala) na kufanikiwa kuchukua ubingwa wa Tanzania mwaka 1986 na hakuwa mbunge.

Ni Davis mosha au David mosha? Tuanzie hapo kwanzaWadau kama mtakumbuka hivi majuzi kwenye kura za maoni CCM wamempitisha kijana tajiri David Mosha (ambaye anasemekana ndio wa kwanza na wa mwisho kununua gari ghali zaidi na la kifahari hapa Tanzania-lamborghini) na CHADEMA wamempitisha aliyekuwa meya wa Moshi Mjini na diwani wa Uswazi (Pasua, Matindigani co.) masikini mwenzangu Jafary Michael.
Davis Mosha ni mtu wa level ya akina Mzee Ndesa pesa ambaye kiuhalisia pesa zake zilikuwa zinambeba sana kwenye ubunge pamoja na kuwa alikuwa hawezi kufanya chochote kutokana na umri wake.
2010 wakati Ndesa-CHADEMA akishindana na Salakana-CCM alifikia hatua kwenye kampeni anawaambia wana-Moshi kuwa ''huyu Salakana alikuwa mfanyakazi wangu kwenye sheli. leo hii hiki kiburi cha kushindana na boss wake amekitoa wapi''!
Na kwa kweli wana Moshi bila ajizi walimpa kura mzee Ndesa, na kwa sababu hiyo basi, wana-Moshi sera yao ni kuwa kiongozi masikini atahubiri umasikini na tajiri atahubiri utajiri na pengine kuwaambuza huo ukwasi.
Naziona mwaka huu kura wana Moshi zikimuangukia kijana tajiri David Mosha kwenye ubunge.
Msije kusema sijawatonya.
naona sasa wewe unataka kuniumbua tu. vitu vingine siupotezee bhana! elimradi umeelewa mada au unataka kunipa maksi nini?Ni Davis mosha au David mosha? Tuanzie hapo kwanza
Wadau kama mtakumbuka hivi majuzi kwenye kura za maoni CCM wamempitisha kijana tajiri David Mosha (ambaye anasemekana ndio wa kwanza na wa mwisho kununua gari ghali zaidi na la kifahari hapa Tanzania-lamborghini) na CHADEMA wamempitisha aliyekuwa meya wa Moshi Mjini na diwani wa Uswazi (Pasua, Matindigani co.) masikini mwenzangu Jafary Michael.
Davis Mosha ni mtu wa level ya akina Mzee Ndesa pesa ambaye kiuhalisia pesa zake zilikuwa zinambeba sana kwenye ubunge pamoja na kuwa alikuwa hawezi kufanya chochote kutokana na umri wake.
2010 wakati Ndesa-CHADEMA akishindana na Salakana-CCM alifikia hatua kwenye kampeni anawaambia wana-Moshi kuwa ''huyu Salakana alikuwa mfanyakazi wangu kwenye sheli. leo hii hiki kiburi cha kushindana na boss wake amekitoa wapi''!
Na kwa kweli wana Moshi bila ajizi walimpa kura mzee Ndesa, na kwa sababu hiyo basi, wana-Moshi sera yao ni kuwa kiongozi masikini atahubiri umasikini na tajiri atahubiri utajiri na pengine kuwaambuza huo ukwasi.
Naziona mwaka huu kura wana Moshi zikimuangukia kijana tajiri David Mosha kwenye ubunge.
Msije kusema sijawatonya.
Naziona mwaka huu kura wana Moshi zikimuangukia kijana tajiri David Mosha kwenye ubunge. "KWELI NI TAJIRI, TUMEONA PESA ZAKE ZIKIZAGAA......Wadau kama mtakumbuka hivi majuzi kwenye kura za maoni CCM wamempitisha kijana tajiri David Mosha (ambaye anasemekana ndio wa kwanza na wa mwisho kununua gari ghali zaidi na la kifahari hapa Tanzania-lamborghini) na CHADEMA wamempitisha aliyekuwa meya wa Moshi Mjini na diwani wa Uswazi (Pasua, Matindigani co.) masikini mwenzangu Jafary Michael.
Davis Mosha ni mtu wa level ya akina Mzee Ndesa pesa ambaye kiuhalisia pesa zake zilikuwa zinambeba sana kwenye ubunge pamoja na kuwa alikuwa hawezi kufanya chochote kutokana na umri wake.
2010 wakati Ndesa-CHADEMA akishindana na Salakana-CCM alifikia hatua kwenye kampeni anawaambia wana-Moshi kuwa ''huyu Salakana alikuwa mfanyakazi wangu kwenye sheli. leo hii hiki kiburi cha kushindana na boss wake amekitoa wapi''!
Na kwa kweli wana Moshi bila ajizi walimpa kura mzee Ndesa, na kwa sababu hiyo basi, wana-Moshi sera yao ni kuwa kiongozi masikini atahubiri umasikini na tajiri atahubiri utajiri na pengine kuwaambuza huo ukwasi.
Naziona mwaka huu kura wana Moshi zikimuangukia kijana tajiri David Mosha kwenye ubunge.
Msije kusema sijawatonya.
mkuu akija huko ndo atafanya hayo yote.
Hili gemu inabidi uliangalie kwa mbali. Manake.........
Tunayoyajua tukisema hapa itakuwa balaa.
Sema mkuu
Kwani we hujui utajiri wa Mosha alipoupata?