Kibanda,
Mkuu wangu nikuulize.. wewe unasema ni mwandishi wa habari au sio? inakuwaje wewe huyo huyo unakuwa mtetezi wa Mnyika na Mrema dhidi ya Zitto wakati sidhani kama unaelewa hisia za hao watu.
Kama mwandishi mzuri kwa nini suikimbilie kwa Mnyika na Mrema ukawasikiliza wao wenyewe wanasema nini badala ya wewe mkuu wangu kuendeleza tungo zako ambao hazimsaidii mtu yeyote yule. Mkuu enough! unachosha sana yaani kama mimi ningekuwa Mbowe au mhariri wa Daima basi huna kazi!..
Reporter siku zote huandika maelezo ya watu na sio yake yeye kwa jinsi anavyojishirikisha ktk scandal kisha anakuwa mwandishi.. Haya ni matumizi mabaya sana ya madaraka sawa na Fisadi ambaye anatumia vibaya madaraka yake. Kama wewe ni mwandishi bakia kuwa mwandishi na kama unaandika kama Kibanda zungumza kama Kibanda mpinzani wa Zitto na ukubali kukosolewa pia.
MzeePunch sina sababu hata moja ya kumshambulia Spika Sitta. Siku zote nimeepuka kushambulia watu. Kama mwandishi naandika makala za kukosoa ambazo kwa wengi tafsiri yake imekuwa ni kushambulia. Labda nielezwe tofauti ya 'criticism' (ukosoaji) and 'attacking' (kushambulia).
Nimeruhusu kuchapwa kwa makala za watu waliokuwa wakimkosoa Sitta nikiamini kwamba wanafanya hivyo kutimiza wajibu wao. Ni bahati mbaya sana kwamba kumbe sikujua kwamba Sitta alikuwa na anaendelea kuwa mtu anayepaswa kusifiwa kila siku na si kuguswa na mashabiki wake wakatokea kupinga makala zile.
Makala zile zilipoendelea, na habari mbili au tatu zikaandikwa na waandishi wa habari dhidi ya Sitta, basi spika huyo akaibuka bungeni na kulitaja Tanzania Daima kuwa moja ya magazeti yanayotuhumiwa kumchafua.
Baada ya tuhuma hizo dhidi ya Tanzania Daima nikaandika makala ya kumjibu spika nikikosoa utamaduni wa kudhani kwamba watu huwa hawawezi kuandika fikra zao pasipo kutumiwa. Ugonjwa huu wa kutilia shaka kila jambo badala ya kufikiri umekuwa ukininyima raha sana.
Majibu yangu ya kumshangaa Sitta ndiyo yakawapa makuwadi wa mwanasiasa huyo na wale wanaodai wanapambana na ufisadi mlango wa kusema eti ninamshambulia spika.
Kibanda ni Mwandishi makini sana siyo mtu wa kununuliwa kama walivyo wengine. Wote misimamo yako tunaiona kabisaNashukuru kwa ufafanuzi Kibanda. Wewe ni mpiganaji shupavu. Tafadhali sana usikubali kununuliwa na mafisadi. Baada ya shutuma za hapa na pale nilianza kuhofu kwamba tumeshakupoteza mpiganaji muhimu! Lakini mwangalie sana huyo kijana wako aitwaye Mulinda. Kuna tuhuma nyingi dhidi yake, zisije zikaliharibia sifa gazeti letu tulipendalo - Tanzania Daima.
Kibanda ni Mwandishi makini sana siyo mtu wa kununuliwa kama walivyo wengine. Wote misimamo yako tunaiona kabisa
Jamani,
Hivi Hayati Nyerere aliposhinikiza Jina la John litolewe ama la anarudi Butiama, si ilipita? Na je Dr. Mohamed Gharib Bilal alipoambiwa ajitoe kunusuru chama si ilipita? Why Chadema? Kwani ndio wa Kwanza?
Kumbukeni maneno ya Raila Odinga siku walipotiliana mkaataba wa kugawana madaraka na Rais Mwai Kibaki, "It comes a time when Kenya is the most important thing than Raila or Kibaki".
Kuna wakati maslahi ya Chama au Taifa au Jumuiya fulani ni muhimu kuliko mimi na wewe. Sasa hii ya Kumsakama Kibanda eti kamumaliza Zito Kabwe ni Kushindwa kuone mbali na kujikita katika Siasa uchwara za Rose Garden, Tamali Bar na Lumumba.
Binafsi nilisoma makala ya Kibanda kuhusu Zito, ilijaa hoja za msingi sana wala haikuwa ya kumtukana au kumdhalilisha. Tukubali kuambiwa ukweli na inapotokea, tusidhani eti fulani kalipwa au la. Kwani nyie mnaotoa maoni yenu humu mumelipwa na mtu? Si kweli.
Do you know Rostam Aziz effect in Tanzanian politics???? Do you know that at one time Zitto Kabwe wanted and supported the Government to buy the famous dilapidated Richmond Generators?? Huyu Kibanda amekuwa pia upande wa Raostam siku zote hasa wakati ule wa Mafisadi Papa Vs mafisadi Nyangumi!! I cant rule out kama wote hawako kwenye pay roll ya Fisadi Rostam. Rostam is something else in this country because he is a King maker. If he sponsored Riala Odinga duiring the 2007 election campaigns in Kenya, atashindwaje kumsaidia Zitto kwenye uchaguzi wa Chadema. Rostam effect is beyond imagination kwa kuwa Kibanda ni Kibaraka wake kama walivyo viongozi wengi wa nchi hii. jakaya Kikwete, Yusuph Makamba,Ibrahim Lipumba, Mbatia, Augostine Mrema and Christopher Mtikila can not deny this!!! wote hawa wako mfukoni kwa bwana mkubwa Rostam. Ukikosea ukamgusa Rostam, hawa wote pamoja na vibaraka wake watakushughulikia na lazima utamwomba radhi tu!!! Kibanda na Zitto kabwe wanaendeleza njaa tu ya watanzania!!!!!! Mimi naliona zaidi anguko la Watanzania kuliko hili la Kibanda na Zitto.
Simply said a pandemic pot of despicable despotism, nauseating nepotism and incospicuous incompetency coupled with idiocratic incoherency.
Mkulima,
Be careful.
Kuna interest free loan ambazo hutolewa na waajiriwa kama wafanyakazi wa ngazi fulani kama kivutio kazini. Mwananchi imetoa mikopo ya kati ya milioni kumi mpaka 20 kwa wahariri ili wawe na usafiri na hawalipi riba.
CRDB wamefanya hivyo. Benki kuu pale nani anao uwezo wa kununu X FIVE BMW kama sio mikopo? Ni utaratibu wa Corporates Nyingi Duniani. Inatokea hivyo hasa pale ambapo riba za Mabenki zinaonekana kuwaumiza wakopaji. Mfano Barclays asiliamia 25, ukikopa milioni kumi ukanunua ghanri siku unamaliza kulipa deni ni milioni 17.5(They calculate compound interest).
Sasa kukopa kwa muajiri wako sio dhambi.
Kibanda,
Mkuu wangu nikuulize.. wewe unasema ni mwandishi wa habari au sio? inakuwaje wewe huyo huyo unakuwa mtetezi wa Mnyika na Mrema dhidi ya Zitto wakati sidhani kama unaelewa hisia za hao watu.
Kama mwandishi mzuri kwa nini suikimbilie kwa Mnyika na Mrema ukawasikiliza wao wenyewe wanasema nini badala ya wewe mkuu wangu kuendeleza tungo zako ambao hazimsaidii mtu yeyote yule. Mkuu enough! unachosha sana yaani kama mimi ningekuwa Mbowe au mhariri wa Daima basi huna kazi!..
Reporter siku zote huandika maelezo ya watu na sio yake yeye kwa jinsi anavyojishirikisha ktk scandal kisha anakuwa mwandishi.. Haya ni matumizi mabaya sana ya madaraka sawa na Fisadi ambaye anatumia vibaya madaraka yake. Kama wewe ni mwandishi bakia kuwa mwandishi na kama unaandika kama Kibanda zungumza kama Kibanda mpinzani wa Zitto na ukubali kukosolewa pia.
Nashukuru kwa ufafanuzi Kibanda. Wewe ni mpiganaji shupavu. Tafadhali sana usikubali kununuliwa na mafisadi. Baada ya shutuma za hapa na pale nilianza kuhofu kwamba tumeshakupoteza mpiganaji muhimu! Lakini mwangalie sana huyo kijana wako aitwaye Mulinda. Kuna tuhuma nyingi dhidi yake, zisije zikaliharibia sifa gazeti letu tulipendalo - Tanzania Daima.
Ni wazi kwamba, kwa kufanya hivyo tunaweza tukawa tukifanya makosa. Ni kwa kutambua hilo, tuko tayari kukosolewa wakati wowote na huo ndiyo msingi wa kukubali kwetu kwa hiari kujiunga katika JF na kabla ya hapo tulikuwa wafuatilia wa mara kwa mara wa maandiko yake.
Unajua Kibanda hapa naona unafaidisha wabaya wako wengi kwa kumwaga mboga bora unyamaze wengi wamezoea kudanganywa na kudanganya unapo ongea ukweli unawanufaisha kukujua in and out.
Naamini wakati wa kuanza kubainisha pumba na mchele umefika. Hili jamvi linaitwa 'The Home of Great Thinkers' ambalo hivi sasa baadhi ya wahuni wamefikia hatua ya kutaka kulifanya kuwa 'The Home of Great Liars'. Hili jambo si la kuliunga mkono hata kidogo na kuacha likaendelea kutalipeleka taifa kusikofaa.
Ingawa sijapata kuwa mwanaharakati wa siasa zaidi ya kuwa mwana habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa naamini ipo haja ya kulipigania taifa letu. Ninajua wakati tukichukua hatua za namna hiyo, tutakuwa tukifanya makosa madogo na makubwa, walakini kila tutakapobaini makosa ya namna hiyo tutakuwa na wajibu wa kuomba radhi na kusonga mbele. Huko ndiko TUENDAKO.
Utaachaje kujua wakati huwa mnauza nae hiyo rasilimali yenu ya nyuma?Actually mimi najua wewe ni GAY!
Ndugu yangu Mkandara
Mbowe si dikteta na mbinafsi kama wewe na ndiyo maana katika gazeti lake la Tanzania Daima habari na taarifa nyingi tu zinazoandikwa zinahusu maamuzi mbalimbali ya kiserikali.