Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Huyu muiran anatapatapa, hana adui ambaye anaweza kuwa mjinga kiasi hicho. Nadhani kuna kitu anahisi kitamuumbua/kishamuumbua karibuni kwa hiyo anatafuta sympathy, si ajabu hata akazusha kavamiwa nyumbani kwake.
Kama kweli kuna watu wanataka sahihi yake waende BRELA wakapewe miongoni mwa mafaili ya makampuni yake kwa 2000/- tu kila search ya faili ukipenda waweza kutoa photocopy. Au kwa kufuata utaratibu wanaweza kuiona hata tume ya maadili.
Hiyo strategy imeshindwa kabla ya utekelezaji!
Hivi nyie hamjui kuwa kuna makundi mawili ya waandshi wa habari? Liko kundi linalopinga ufisadi; halafu lile linalowaunga mkono watuhumiwa wa ufisadi. Makundi yote mawili yanapata mshiko. Sasa akili kwenu wanaJamii . Ninachoweza kuwaambieni ni kuwa nchi yetu kwa sasa inapotoshwa na vyombo vya habari ingawa kwa hakika vyombo hivi vinafanya kazi kubwa 'positively' ndani ya jamii. Lakini wapo waandishi wa habari ambao pamoja na kuchukia ufisadi wamewekwa mkononi na mafisadi kwa sababu ya fedha. Aidha, wale nao wanaochukia ufisadi wanapewa fedha kupinga ufisadi. Kazi kubwa kweli kweli. Wako waandishi wa habari waliojengewa majumba na kununuliwa magari, katika pande zote mbili.
check your words..hakuna muiran anayeweza kuwa mbunge???
usitake kutubagua sisi wenye asili tofauti...
one scenari or side of a coin inaweza kuwa hivi
ra mwenyewe ndo anatuma watu wake wawatest wafanyakazi wake kuona kama wanaweza kutoa siri. Am baised here but this is very possible.
If u judge and weigh things, ukazingatia na on going current issue jumlisha na knowlege ya forensic science kama huwa unatazama movies zake .
Kwa nini nasema ni ra mwenyewe katuma watu.?
Mtu yeyote makini anayetaka copy ya singature ya ra the last place to go ni office ya ra.
conclusion
this is movie and scene created by the sterling himself.
What if the episode is fabricated! Hivi bado kuna wato wana underestimate uwezo wa rostam nchi hii?
My own assumption, based on precedence of-course: Tabu akielekezwa na rostam ametunga story, ameenda police, amevitaarifu vyombo vya habari. Lengo ionekane rostam anatendewa husda na tuhuma zote dhidi yake nichuki binafsi
Nilipoona hiyo habari kwenye hilo Gazeti niliona kinyaa sana.Yaani Tz Daima linashindwa kuandika habari kuhusu ripoti ya uchaguzi ya EU kwa kuipa uzito badala yake wahariri wake wanaona kutishiwa kwa mlinzi wa Rostam ni habari.Kwa kweli siamini kama Ngurumo yuko kwenye media hii vinginevyo kuna usaliti wa hali ya juu.Mh.Mbowe liangalie hili suala kwa umakini sana vinginevyo chombo hiki cha habari kimegeuka kuwa Rai,Mtanzania na Habari Leo
Nilipoona hiyo habari kwenye hilo Gazeti niliona kinyaa sana.Yaani Tz Daima linashindwa kuandika habari kuhusu ripoti ya uchaguzi ya EU kwa kuipa uzito badala yake wahariri wake wanaona kutishiwa kwa mlinzi wa Rostam ni habari.Kwa kweli siamini kama Ngurumo yuko kwenye media hii vinginevyo kuna usaliti wa hali ya juu.Mh.Mbowe liangalie hili suala kwa umakini sana vinginevyo chombo hiki cha habari kimegeuka kuwa Rai,Mtanzania na Habari Leo
ni chuki binafsi bana.shutuma lukuki ushahidi NIL.kila siku rostam,rostam like we are idiot retard parrots brainwashed to the point of nausea.if people have evidence why dont they take this matter to the law.
Talking about egypt revolution .just know that it stand for revolving ,going arround again and again repeating the same mistake.
Wale wamisri they jumped from the frypan into the fire(militarydictotar).
So from today on i prönounce RA not guilt untill proved otherwise. I ELUNGATA HAVE SAID SO
Kaka ukiandika english in capital letters ambayo nia ni njema ya kuonyesha msisitizo..patia basi ..sio NO PROVE mkuu...NO PROOF..cant you see it ,there is no SUBSANTIAL EVIDENCE TO SUSTAIN THOSE ALLEGATION agaisnt RA thas is why mbowe cant fire kibanda .NO PROVE get that in your mind N.O. P.R.O.V.E.
All this episode could have been stage managed.
hAPO UMECHEMKA KWANI SIJAONA KOSA LA KIBANDA