Ameen..Yaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna udhubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
acha kujikuta sheik yahayaWanazengo poleni na majukumu nimemfikiria Sana uyu dogo naona anapotea vibaya Sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazo zifanya sidhani Kama zitazaa matunda
Ivi kweli kiburi anacho pata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya mondi jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara ndo basi tena
Afu uyu jembe ni jembe anaweza ku stahimili figisu za muziki wa bongo kweli au anampa kiburi dogo kwa sababu yupo kwenye pick
Watu wanao mpoteza dogo wanakosea Sana na hawawezi mfikisha dogo popote nafikiri watu wabaya kwa harmonize ni awa apa
Jembe ni jembe
Zamaradi mketema
Dully
Wanampoteza Sana wengi umu wanazungumzia mtoto akikua akajitaftie lakini harmonize sio mtoto kwa diamond harmonize hakupaswa kuondoka WCB kulingana na hali aliyo kua nayo zamani na saizi ushauri wangu kwa dogo muda anao arudi tu kuomba yaishe aendelee na kazi WCBView attachment 1227487
kaa ukijua hii ni Biashara na wala hakuna anguko, hawa ni kitu kimoja walichofanya wamefungua tawi tu linalojulikana kwa jina la kondeboyWanazengo poleni na majukumu nimemfikiria Sana uyu dogo naona anapotea vibaya Sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazo zifanya sidhani Kama zitazaa matunda
Ivi kweli kiburi anacho pata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya mondi jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara ndo basi tena
Afu uyu jembe ni jembe anaweza ku stahimili figisu za muziki wa bongo kweli au anampa kiburi dogo kwa sababu yupo kwenye pick
Watu wanao mpoteza dogo wanakosea Sana na hawawezi mfikisha dogo popote nafikiri watu wabaya kwa harmonize ni awa apa
Jembe ni jembe
Zamaradi mketema
Dully
Wanampoteza Sana wengi umu wanazungumzia mtoto akikua akajitaftie lakini harmonize sio mtoto kwa diamond harmonize hakupaswa kuondoka WCB kulingana na hali aliyo kua nayo zamani na saizi ushauri wangu kwa dogo muda anao arudi tu kuomba yaishe aendelee na kazi WCBView attachment 1227487
Unaakili kubwa. Sana . ila kama umeazima niambieYaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna uthubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
Kweli sanaYaani wewe inaonekana ni mwoga sana wa maisha na hauna uthubutu wa kufanya jambo lolote pekee yako ukihofia kufeli.
Ndio maana hofu unazihamishia kwa harmonize.
Kwanini aanguke? Na ulitaka akae WCB hadi lini ikiwa anaweza kusimama pekee yake? Lazima aondoke aachie na yeye atengeneze ajira kwa vijana wenzake ambapo asingeweza kufanya akiwa wasafi.
Yawezekana wewe mpaka leo unaogopa kuhama nyumbani kwenu ukajitegemee.
Ona hili jingaHarmonize z going to experience floppy ASAP.
-He z not as talented enough as Diamond, after becoming successful he forgot that he z there coz of the man he z against.
Feeling himself big headed[emoji16]
-Atleast he had to tell goodbye than leaving controversially n stub the back which raised him.
-His music will get challenged by opposition from his former WCB, i don't believe if he z gonna withstand them.
He will have to dribble past Diamond.
Is he good enough to overcome him.
I'm waiting, let us wait.
I didn't insult you motherfucker.Ona hili jinga
Mkipewa criticism kwa mnachokipenda mnaona ni hatred.Haters wa Harmonies kama hamuelewi ni kuwa, pamoja na kipaji cha mziki alichonacho Dogo, kwa sasa yeye ni spouse wa European Citizen.
Kufulia kwake hakutakuwa sawa na nyinyi, ana uwezo wa kukwenda kokote duniani kuanza upya.