Kwa kumtembelea pdidy kwakweli ataupata tu huo utajiriDua la kuku halijawahi kumpata mwewe, mwenzako anataka kua Tajiri wa kwanza wa dunia kwasasa ..
😆😆😆
kwahiyo akianguka wewe ndio utapanda? ngulumbili bwana shida tuTukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
vipi huu mwaka gani?Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?