nalilia na napenda uhamiaji

padiri

New Member
Jan 14, 2012
3
0
salaam, ni matumaini yangu jf ni collection ya kila kitu, jamani kama kuna mtu anaweza kuniunganishia nikapata nafasi katika idara ya immigration nitashukuru milele, mi nipo arusha mjini elimu yangu ni degree, mwenye huruma na msaada kwa hili nipo chini ya miguu yake,... karibuni.
 
huruma ya nini subiri wakitangaza nafasi uombe elimu si unayo ss punguza uoga.........!!!!
angalizo: tuko watu zaidi ya buku tano tunazisubiri hzo nafasi za uhamiaji so stay tuned!!
 
Mbona wenzio weisha enda depo,we ulikua umezubaa wapi mkuu?
 
mimi nilipigiwa simu 14dec, niende kuripoti tar 28dec, lakini nikashindwa sababu tayari nimekamata kasehemu kupata ka'mkate. its amazing kazi uliapply miaka 2 iliyopita zikianza kumiminika mpk unachagua? cjui miaka yote ukiwa kitaa zilikuwa wapi?

kwa hivyo ndugu padiri, naweza kukuhakikishia mwaka huu wameshaenda, unless kama upate bahati ya mwana jf uku mwenye kitengo pale akuweke nafasi za walioshindwa kuripoti itakuwa msaada mzuri kwako.

vinginevyo uwe msomaji mzuri magazeti na mtandao nafasi za kazi km jf! wakitangaza utakuwa wa kwanza kujua.

goodluck.
 
inamaana walioomba mwaka juzi kama ww ndio wanaoitwa.......haya sinza boy....!!!! great sinka
 
Back
Top Bottom