Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

belie

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
387
Reaction score
261
Habari zenu wapendwa.

Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani.
 
its exist mine unajikuta unajiuliza maswali mengi,... wengi huwa tunawaza kanichezea au atanionaje ? Kuna wengine usiku hatulali nahisi ni mawazo ukikumbuka unajuta hasa kwa nini kanifanya unatamani urudishe nyuma huwezi.its normal
 
Unalia voluntarily or involuntarily ?
 
ikimbie zinaa....

avatar36740_6.gif
 
Kulia katika kubanjuliwa , yawezekana ndio point yako ya kuwa umelizishwa .
Au mdau anakuwa na chombo kama cha mgiriki kwahiyo unakuta ulikuwa unavumila tu ?
Je, huwa unasikia maumivu unapo banjuliwa ? Labda tuanzie hapo.
 
its exist mine unajikuta unajiuliza maswali mengi,... wengi huwa tunawaza kanichezea au atanionaje ? kuna wengine usiku hatulali nahisi nimawazo ukikumbuka unajuta hasa kwa nini kanifanya ... unatamani urudishe nyuma huwezi .. its normal

Kumbe na wewe unahisia nilifikiri zippo kwenye ankara tuu miss chagga .
 
Last edited by a moderator:
its exist mine unajikuta unajiuliza maswali mengi,... wengi huwa tunawaza kanichezea au atanionaje ? kuna wengine usiku hatulali nahisi nimawazo ukikumbuka unajuta hasa kwa nini kanifanya ... unatamani urudishe nyuma huwezi .. its normal

kwahiyo mnataka na si tuwe tunalia kwanini tumewafanya lol!!! kukunjwa unataka machozi ya nini sasa.
 
Miss chagga nadhani ingekuwa vyema kwake asubiri aolewe kwanza. Maana akifanya na mumewe hatolia
 
tatizo linaanza kila unapobikiriwa? Unabikiriwa mara ngapi kwani kubikiriwa si mara moja?
 
Kulia katika kubanjuliwa , yawezekana ndio point yako ya kuwa umelizishwa .
Au mdau anakuwa na chombo kama cha mgiriki kwahiyo unakuta ulikuwa unavumila tu ?
Je, huwa unasikia maumivu unapo banjuliwa ? Labda tuanzie hapo.

nshakwambia akinikuna vizuri, sasa kukunwa vizuri kuna maumivu?
 
Habari zenu wapendwa,

Mwenzenu nna tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa..... Yani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? mana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani
mmmm Dunia inamaajabu yake tangu nizaliwa ndio kwanza leo nisikie hayo,nikulize mrembo hua unafikiria nini baada ya hayo mambo? kwani huwi karibu na mpenzi wako baada ya kula raha yani kuku hug au kwenda kukoga nae au kupumzika nae ? na una miaka mingapi?
 
Unalia kwamba ...unasikia Utamu?

Unalia kwamba..unaumia?

Unalia kwamba hujamzoea aliyekuliza?

Unalia kwamba...Umekunwa vizuri? Au

Unalia kwamba...?
 
Back
Top Bottom