Nalia na NACTE

Nalia na NACTE

Joined
Aug 28, 2015
Posts
37
Reaction score
12
polen na majukumu wana JF, Mwenzenu nimeomba nafasi ya kujiunga na vyuo vya afya kozi ya HEALTH COMMUNITY toka mwenzi August 2015, maajabu yake selection za kwanza nikakosa. Leo tena wametoa selection zingine tena lkn bado hawajanichagua, na vyuo vimefunguliwa toka tar 2 November, nifanyeje jaman naomben ushauri wenu maana emails hawajib, simu hawapokei. nahis kuchanganyikiwa na muda nao unayoyoma
 
Wafate ofisini kwao watakusaidia zaidi me nilikuwa na issue kama yako nilisumbuka sana hata hivyo hauko peke yako wako wengi wenye tatizo kama lako sema sio wote wanaoweza kuja kulalamika huku...Ushauri wangu nenda directly ofisin kwao watakusaidia wanapatikana Mikocheni Right industrial Area karibu na chuo cha kodi. ukifika hata Bamaga Mwenge au pale ITV mwambie bodaboda yeyote akupeleke nacte
Note; pole sana hata hivyo umekosea jukwaa kaka
 
Back
Top Bottom