Poleni Maafisa Udahili wa Vyuo, TCU na NACTE

Poleni Maafisa Udahili wa Vyuo, TCU na NACTE

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,343
Najua katika muda wote wa udahili tumelalamika sana, wengine wametukana sana na kadhalika. Ni kweli kumekuwa na magumu na machungu mengi yamewasibu na yanawasibu waombaji (haya yote yamelalamikiwa humu). Lakini nauliza tumewahi kufikiria yepi yanawasibu maafisa udahili ambao inabidi wafanye kazi na mifumo hii? Mko wachache simu zinapigwa usiku na mchana, mifumo inazingua, TCU wanawapa deadline lakini multiple selection ndio zinachanja kabla ya kujua mna nafasi ngapi zimebakia mnatakiwa mfungue dirisha lijalo. Code ndio hazijulikani zinaenda vipi. Na kadhalika. TCU/NACTE wanabana na Management ya Vyuo inabana-kabla ya saa nne usiku hujatoa mguu ofisini. MIMI NAWAPA POLE KWA KAZI NGUMU MNAYO PAMBANA NAYO KWA UJUMLA (hata kama kati yenu kuna wenye matatizo). Baada ya zoezi hili nafikiri itakuwa vizuri mkatafakari UPYA mfumo mzima na kutoa maoni yenu jinsi ya kuuboresha ili mwakani tusirudi tena hapa-hasa hapo KWENYE MATATIZO YA MULTIPLE SELECTION. Sisi tunahamia HESLB ni zamu yao kuwananga sasa.
 
kaka wewe ni mtanzania??????????????
Imagine umeomba kazi huo, ukapata halafu mijamaa wakakusukumia huko udahili kwenye chuo chetu kimoja pendwa-si yatakukuta tu, kwani mifumo ndiyo hiyo nasisi tunataka tupate udahili. Code za malipo zinagoma, misimu tele mingine hata kukufikia haifiki. Ukifika code za TCU balaa tupu, wajanja wamepata mpaka simu yako binafsi wnaicharaza, wengine wamesha vurugika wanatoa povu. Bosi wako anataka matokeo hata kama mfumo una matatizo. Wengine wanakuabiaimekuaje ukonfirm kwa niaba yao nawe hjafanya hivyo, na kadhalika. Umepiga lapa raundi tatu na bado TCU wanataka uende ya nne na list ya waliochaguliwa raundi ya 3 haijatoka na bado kuna wenye multiple selection. Nafikiri huhitaji kuwa mtanzania kuona hawa jamaa nao wanastahili pole. KUMBUKA NI POLE NA WALA SIO HONGERA. FIKIRIA RAUNDI YA NNE IKITOKA vijana hao wamesha tua vyuo unatakiwa uwfanyie registration hao NJUKA. bado nawapa POLE TENA.
 
Back
Top Bottom