naleta huruma na kutsha kabsa jaman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naleta huruma na kutsha kabsa jaman

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 14, 2013.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,432
  Likes Received: 4,312
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  INATISHAA....

  TAZAMA CHATU

  AKIWA AMEMMEZA

  MWANAMKE SIKU

  MBILI ZILIZO PITA Linda Laina Nyatoro, a South African reporter witnessed the incident and sent this picture. The giant snake swallowed a woman two days ago, near Durban North, South Africa
  .
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,432
  Likes Received: 4,312
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2013
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,302
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Haisikitishi kwasababu hatujaona alichomeza
   
 4. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2013
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mzizimkavu youtube zote unazowekaga hapa jf huwa hazifunguki kwenye sim yangu, nadhani kutakuwa na makosa huwa unafanya, jaribu kuyarekebisha ili wote tuwe tunafurahia
   
 5. M

  Master plan JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2013
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 2,859
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Haijawahi kutokea chatu kummeza mtu mzima hizo ni ngano tu wao walijuaje kama aliyemezwa ni mwanamke? Inamaana wakati chatu anamletea mandingo kuna watu walikuwa wanamsikilizia?
   
Loading...