TANZIA Nalaila Kiula aliyekuwa Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri afariki dunia

Ametumia sehemu ya mwisho ya maisha yake kama Mhubiri wa habari njema ya Mungu. Mungu ampe pumziko la Amani la milele na amkumtanishe na waliomtangulia akiwemo mtoto wake , Juhudi Nalaila Kiula aliyefariki ile September 28 ya kusikitisha pale baharini kabla hapajaanza kuitwa Coco Beach.
 
Jamaa alikuwa hana ushirikiano na watu akiwa waziri.
Hii imemcost sana na hata alipolilia kutaka afikiriwe post yoyote wakati wa Mkapa na Kikwete, hakuna aliyemsikiliza.
 
Nyerere akamuuliza. Na hii Icarus fupi? Akasema nimepewa zawadi. Stupid.
Ununue ikarus kwa hela za umma Kisha upewe zawadi binafsi.? Acha ujinga, peleka yard ya Uda, Tena ipakwe rangi ya Uda na namba za SU.
Ndio kale ka Ikarus kasiko na mtoto.
Aliyepewa zawadi ya Ikarus siyo Nalaila Kiula. Somebody ana ubini wa Kushoka, alikuwa ndiye General Manager wa UDA
 
RIP binadamu mwenzetu,kila mmoja atakukumbuka ni jinsi gani aliguswa nawe,mimi nitakukumbuka kwa dala dala yako maridadi kabisa kutoka posta hadi masaki(hii route uliikimata wewe tu!)na mmmmm mkasa ule mbele ya ile restaurant ya La dorce vita pale osterbay!!,but upumzike kwa amani ulikua very hard worker my minister.
ILe kitu ilikuwa balaa hadi ikaitwa popobawa! Brand new Toyota Coaster mayai miaka ya tisini!
 
Back
Top Bottom