TANZIA Nalaila Kiula aliyekuwa Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri afariki dunia

Ooh... RIP Mzee kiulaa... poleni sana familia kwa msibaaa...

NB.. Nimekumbuka kisa kimoja kati yangu na binti yake neema Neema nilikua namuepusha na shari. Akaenda snitch. Nilimfunza adabu... sitaki hadithia maana anaweza kuwa humu akanitambua... hoping ameacha ule ujinga huko way back.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Daah so sad.

Lakini Queen yupo wapi siku hizi? Alinitangulia darasa moja pale Jiteute. Mzee Kiula alikula vinono kwa mama yake walah.


Mungu ampumzishe mzee wetu
Queen ni mke wa JB msanii kwa sasa!!
 
Waziri wa Ujenzi wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alilipuliwa kwny report Rushwa ya 1996 ya Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba
Alikua na coaster mpya za dukani daladala Stesheni to Masaki ambazo alizipata kwa njia za kutatanisha.
Kipindi huyu jamaa Ni waziri Kuna kitu ilikua inaitwa "road licence"
Aisee ilikua Bei yake Ni ndogo tu lkn kuipata. Hela mingi lazima ingekutoka.
 
Huyu mzee alipiga dili kwenye mabasi ya UDA na yeye akaletewa basi dogo moja.

Singida rushwa ni kama Uji na Mgonjwa!
Nyerere akamuuliza. Na hii Icarus fupi? Akasema nimepewa zawadi. Stupid.
Ununue ikarus kwa hela za umma Kisha upewe zawadi binafsi.? Acha ujinga, peleka yard ya Uda, Tena ipakwe rangi ya Uda na namba za SU.
Ndio kale ka Ikarus kasiko na mtoto.
 
Nyerere akamuuliza. Na hii Icarus fupi? Akasema nimepewa zawadi. Stupid.
Ununue ikarus kwa hela za umma Kisha upewe zawadi binafsi.? Acha ujinga, peleka yard ya Uda, Tena ipakwe rangi ya Uda na namba za SU.
Ndio kale ka Ikarus kasiko na mtoto.


Hilo mnampakazia
Hakuhusika na Ikarus, scandal ya Ikarus na lile basi dogo ilikuwa 10% ya mkurugenzi wa UDA wakati huo anaitwa Simon Kushoka.
 
Back
Top Bottom