Sawa ua letu hapa jf.Yap 😂😂😂😂😅
Sawa ua letu hapa jf.
Toa hiyo avatar ya kiume
Surya ni la kiume .
Unajua asili ya hayo majina?Maua kwanini yabague jinsia ?
Ajiite Centano Habimana ya Alice Lukwena.Jiite Kibwetere au Bagambaakabo.
Mafanikio maishani.I see your name, say your blessed
Niambie umebarikiwa kwenye nini ?
Pushpa na Pusha yana uhusiano wowote ?Maandiko yanasema "Kama jina la mtu lilivyo naye ndivyo alivyo"
Kutoka Surya niwe naitwa Pushpa hapa jamiiforum.
Maoni yenu kwa Jina langu Jipya lijalo.
Ajiite Mama SamiahJiite Kibwetere au Bagambaakabo.