Nakwama wapii

Nakwama wapii

Niliwah kuwambia humu, ukitaka mwanamke akuzungushe mpaka uheme kama mbwa nawakt huohuo unapoteza pesa na muda .....TONGOZA UKIWA SERIOUS ...

Wanawake hawapendi kabisa Userious wakat wa kutongoza, atakuchomolea au akuambie ana mtu.


Tongoza kwa masiala masiala na utani utani tuuu .


Sasa kwa kesi kama yako,, Keshakujua unamtaka, ila Unachokosea HUAMSHI HISIA ZAKE ZA MAPENZI.

sasa mwisho atakuona kama rafiki au kaka.

Fanya ivi, badili aina ya Mfumo wa mawasiliano yako ..yaan ACHA ZILE TEXT NA SIMU ZA AINA HII
[emoji117]Hey nmekumis
[emoji117]Mambo
[emoji117]lini unamuda??
[emoji117]USIMLAUMU KWA LOLOTE NA USILALAMIKE, WALA USIKAE KUULIZIA JAMAA WAKE like.. au kisa jamaa ?? Jamaa anafaidi...

Badala yake fanya hivi

Kwa mfano saizi ni jion,, unaeza mtext
[emoji117]Hey yaan npo mahali ghafla kuna wimbo umepigwa aiseee nmejikuta nakukumbuka ghafla nkataman ungekuwepo!!

Au Nunua chupi moja au mbili alafu mtext hiv
[emoji117]Leo wakat natoka job, nmepita kwenye duka fulan, nkakubebea CHUPI zako, i hope ukija zivaa zitakupendeza sana na hicho kiuno chako na ulivyojaa hapo mbele ( unaweka kaimoji [emoji39][emoji39][emoji13])

Kabla hajakujibu. Unamtext tena ,"" Ila shariti uzijaribishe mbele yangu, nione kama najua kuchagua".
....( hachomoki ng'ooooo)......alafu vyovyote atakavyokujib...wee mwambie nakutumia picha wasap uone.

Kama ni asubuhii.

Ukiamka tu mtext iv

Wee mwanamke usiku wa leo umenitesa yaan, nmelala nikajikuta nakuota, basi mbooo ikanisimama mpaka nikajikuta najichafua yaan hapa nilipo bado najicheka maana sio kwa ulivyonipelekesha ndoton"

Utaona anacheka hahahahhahahauaha ,kweli??? Hahahahah


Naww unakazia, yaaan wee acha, nahii boksa naiweka ukuje uifue mwenyewe.


KWA UFUPI WANAWAKE, WEE KUA MTAALAM WA FLIRTS NA UJUE SANAA YA SMS.


Utakula mzigo bila hata kumtakia nakupenda.... Ila ukitamka nakupenda, ataanza kutafuta uhakika wa upendo wako weeeeeee kuja umle ni miezi kuanzia mitatu nakuendelea.

AMSHA HISIA ZAKE, NA HISIA ZENYEWE NI ZILE ZA NGONO........ haijalishi anakazi kubwa..pesa nyingi au nn...amsha hisia tu... Msifie mapaja yake, miguu yake..manyonyo, lips n.k naizo sifa uziegemezee kwako yaaan

Ila wee mwanamke iko kiuno huwa natamaan siku unibane nacho alafu naiyo miguu unifunge nayo mgongon [emoji23][emoji23].... HACHOMOKI.
We kiboko mzee
 
Habari za weekend wadau?

Nilikuwa naomba ushauri ,miezi kadhaa iliyopita nilikutana na binti ambaye nilitokea kuzoeana nae kidogo,baada ya muda kidogo kupita nilianza kutamani awe mtu wangu.

Basi nikaongeza juhudi ya kumfanya awe karibu nami na aniamini,nilianza kugharamika kiaina ,nilimnunulia zawadi mbali mbali,nilimtoa out pia Mara kadhaa,baada ya kuona kwamba ameanza kuniamini nikaamua nimwambie kilichomo ndani ya moyo wangu,but akachomoa kwa kusema kwamba ana mtu wake,niliendelea kukomaa kwa miezi miwili ila bado aliendelea na msimamo wake

Aisee nikaamua kukata tamaa,nikafuta namba ake lakini yeye aliendelea kunitumia text na kunipigia ninapokuwa kimya muda mrefu,nilijaribu kutongoza tena akachomoa aisee mpaka Leo hajawahi kunikubalia lakini simu ananipigia na hata sms ananitumia kama kawa ninapokuwa kimya .

Nilikuwa naomba ushauri ,je nivute subira au nimpotezee mazima?,nampenda sana ila hakuna namna,bint mwenyewe inaonekana ni Bright brain.
Unaemtaka hakutaki, anaekutaka humtaki yan wote takataka[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom