Nakwama wapii

Nakwama wapii

Mpotezee kabisa hata simu zake usipokee
 
Niliwah kuwambia humu, ukitaka mwanamke akuzungushe mpaka uheme kama mbwa nawakt huohuo unapoteza pesa na muda .....TONGOZA UKIWA SERIOUS ...

Wanawake hawapendi kabisa Userious wakat wa kutongoza, atakuchomolea au akuambie ana mtu.


Tongoza kwa masiala masiala na utani utani tuuu .


Sasa kwa kesi kama yako,, Keshakujua unamtaka, ila Unachokosea HUAMSHI HISIA ZAKE ZA MAPENZI.

sasa mwisho atakuona kama rafiki au kaka.

Fanya ivi, badili aina ya Mfumo wa mawasiliano yako ..yaan ACHA ZILE TEXT NA SIMU ZA AINA HII
[emoji117]Hey nmekumis
[emoji117]Mambo
[emoji117]lini unamuda??
[emoji117]USIMLAUMU KWA LOLOTE NA USILALAMIKE, WALA USIKAE KUULIZIA JAMAA WAKE like.. au kisa jamaa ?? Jamaa anafaidi...

Badala yake fanya hivi

Kwa mfano saizi ni jion,, unaeza mtext
[emoji117]Hey yaan npo mahali ghafla kuna wimbo umepigwa aiseee nmejikuta nakukumbuka ghafla nkataman ungekuwepo!!

Au Nunua chupi moja au mbili alafu mtext hiv
[emoji117]Leo wakat natoka job, nmepita kwenye duka fulan, nkakubebea CHUPI zako, i hope ukija zivaa zitakupendeza sana na hicho kiuno chako na ulivyojaa hapo mbele ( unaweka kaimoji [emoji39][emoji39][emoji13])

Kabla hajakujibu. Unamtext tena ,"" Ila shariti uzijaribishe mbele yangu, nione kama najua kuchagua".
....( hachomoki ng'ooooo)......alafu vyovyote atakavyokujib...wee mwambie nakutumia picha wasap uone.

Kama ni asubuhii.

Ukiamka tu mtext iv

Wee mwanamke usiku wa leo umenitesa yaan, nmelala nikajikuta nakuota, basi mbooo ikanisimama mpaka nikajikuta najichafua yaan hapa nilipo bado najicheka maana sio kwa ulivyonipelekesha ndoton"

Utaona anacheka hahahahhahahauaha ,kweli??? Hahahahah


Naww unakazia, yaaan wee acha, nahii boksa naiweka ukuje uifue mwenyewe.


KWA UFUPI WANAWAKE, WEE KUA MTAALAM WA FLIRTS NA UJUE SANAA YA SMS.


Utakula mzigo bila hata kumtakia nakupenda.... Ila ukitamka nakupenda, ataanza kutafuta uhakika wa upendo wako weeeeeee kuja umle ni miezi kuanzia mitatu nakuendelea.

AMSHA HISIA ZAKE, NA HISIA ZENYEWE NI ZILE ZA NGONO........ haijalishi anakazi kubwa..pesa nyingi au nn...amsha hisia tu... Msifie mapaja yake, miguu yake..manyonyo, lips n.k naizo sifa uziegemezee kwako yaaan

Ila wee mwanamke iko kiuno huwa natamaan siku unibane nacho alafu naiyo miguu unifunge nayo mgongon [emoji23][emoji23].... HACHOMOKI.
We jamaa umenifanya nicoment [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani unampa shula kama yupo chekechea.

Akitumia mbinu zako akamkosa ajue sio type yake. Anapoteza muda
 
Miaka iliyopita nikiwa kijana niliwahi kutana na hali kama hiyo.

Nilienda shopping nikamnunulia zawadi kiasi (chuppi classic, saa, manukato, kidani, tight, bra, shanga na sandals) nikavigawa katika box mbili za zawadi.

Nikaweka nae miadi tukakutana sehemu nikamkabidhi box moja huku nikimwambia hili ninalobaki nalo pia ni lako isipokuwa utalipata kwa shariti moja tu (utalifuata ghetto) nikaagana nae nikaondoka.

Kila tukiwasiliana anaulizia zawadi (box) lake, nikawa namtia ndimu kwa kumwambia hili sasa ndio lina zawadi baab kubwa kuzidi hata hilo, haikuchukua muda mrefu akalazimika kujileta tukasokotana weeeee akaondoka na zawadi zake, akazoea akawa anaiosha vizuuuuuriiiii anaileta tunasokotana vilivyo
Master plan
 
Mwanaume bila uongo hugongi aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani demu kuja geto sema hata unaumwa nusu kufaa...!! Akijichanganya aisee wengine wanakuja wamenyoa kabisa..mmoja tu ndo alikuja na rastaa
kabisa la sivyo hupati kitu.
 
Dogo unapoteza muda, we yawezekana siyo type ya huyo demu unatongozaje mwanamke miezi 7????

Fanya maamuzi mengine tafuta demu mwingine mpitishe akuone nae akikuuliza mwambie unaMOVE ON, kama anakupenda atakuja kwa kasi ya 5G kama hakupendi anasepa zake.

Na wewe tafuta demu wa viwango vyako
 
Maisha yako hivyo, tunaowapenda sana wao hawatupendi sana na tunaowaona wa kawaida sana wao wanatupenda sana. Tafuta anaeelewa na kuthamini hisia zako otherwise unatafuta kesi ya ubakaji unnecessarily.
 
Miaka iliyopita nikiwa kijana niliwahi kutana na hali kama hiyo.

Nilienda shopping nikamnunulia zawadi kiasi (chuppi classic, saa, manukato, kidani, tight, bra, shanga na sandals) nikavigawa katika box mbili za zawadi.

Nikaweka nae miadi tukakutana sehemu nikamkabidhi box moja huku nikimwambia hili ninalobaki nalo pia ni lako isipokuwa utalipata kwa shariti moja tu (utalifuata ghetto) nikaagana nae nikaondoka.

Kila tukiwasiliana anaulizia zawadi (box) lake, nikawa namtia ndimu kwa kumwambia hili sasa ndio lina zawadi baab kubwa kuzidi hata hilo, haikuchukua muda mrefu akalazimika kujileta tukasokotana weeeee akaondoka na zawadi zake, akazoea akawa anaiosha vizuuuuuriiiii anaileta tunasokotana vilivyo
Kuna mmoja nilimla bila hata sh 10,

Anasemaga duh ulinila kimasiala kweli we mwanaume,,
 
Maisha yako hivyo, tunaowapenda sana wao hawatupendi sana na tunaowaona wa kawaida sana wao wanatupenda sana. Tafuta anaeelewa na kuthamini hisia zako otherwise unatafuta kesi ya ubakaji unnecessarily.
Aisee,sometimes true
 
Back
Top Bottom