Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,319
- 7,655
That's not my life to copy someone....
You may copy her if she inspires you.
Granny Matata.
Ushazeeka granny, time never goes back live like a really granny not a fake one.
That's not my life to copy someone....
You may copy her if she inspires you.
Granny Matata.
Ha ha! Sio jasusi sema kajasusi kenye mapengo😎😜😜Sishindwi kupambana nae, nahofia kumteka kijasusi kiasi kwamba atasahau pango lake la zamani. Halafu huwa sipendi kesi za kuwa nimebemenda mtu...
Jionee huruma basi usijetekwa na jasusi Matata.
Kumbuka ahadi ni deni.Wewe ndo umefikirisha akili yako... Umegusa nilipolenga.
A tost to you, unidai zawadi ya mwaka mpya.
😭😭😭Kenzy bye, nshafika nnapoyachakata masantula till sunrises....
Ahahahahahahaaa umechelewa kunitahadharisha ndo niko bagamoyo hapa naanza kuyachakata haya madaraja kabla sijafika jina ya msata.

Ahahahah.Sure, ukiona uzee umenisahaulisha nikumbishe tafadhali hata kwa like tuu.
Ahahahah.
Licha ya kuwa mm ni mzee zaid yako, nitakumbuka tu..na nitakukumbusha..ngoja nijitunzie ka screen shot haka.Nita share tu na ww ikifika time
Siku zote wanaume ma handsome hua wanakuwaga na wanawake wabovu na wanawake wazuri hua na wanaume wenye sura ya kazi..hio ni general rule na to every general rule there are exceptions....