Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,046
Huyu ndugu aliaga kwamba atapotea, namkumbuka katika maandiko yake aliaga, kuna siku aliandika kwamba atapotea kwa muda.Wadau hivi Joseverest mbona sijamuona kitambo..kuna anaejua kuhusu jose?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani yupo mahali anatumika