Nakuuliza mbunge wa Tarime vijijini

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,718
6,772
1.Ni kweli huu ukimya ndio uliotuahidi ukifika bungeni?

2. Pamoja na harakati zote zile tunanyeshewa pamoja,tunapigwa mabomu Tarime tukisukuma utangazwe mshindi umetususa watu wa Sirari?

3. Maendeleo uliyowaahidi wananchi wako tutayapata ukiwa nje ya bunge kwa suspension kweli?
Nawasilisha
 
mkuu yapo maendeleo ya nyumban kwangu ambayo nahusika moja kwa moja lakin pia kuna yale yanayohusu jimbo ambayo mbunge anahusika hususan kuboresha zahanati pamoja na miundo mbinu mingne
 
1.Ni kweli huu ukimya ndio uliotuahidi ukifika bungeni?

2. Pamoja na harakati zote zile tunanyeshewa pamoja,tunapigwa mabomu Tarime tukisukuma utangazwe mshindi umetususa watu wa Sirari?

3. Maendeleo uliyowaahidi wananchi wako tutayapata ukiwa nje ya bunge kwa suspension kweli?
Nawasilisha
Ungepambana na aliyempa suspension!
 
1.Ni kweli huu ukimya ndio uliotuahidi ukifika bungeni?

2. Pamoja na harakati zote zile tunanyeshewa pamoja,tunapigwa mabomu Tarime tukisukuma utangazwe mshindi umetususa watu wa Sirari?

3. Maendeleo uliyowaahidi wananchi wako tutayapata ukiwa nje ya bunge kwa suspension kweli?
Nawasilisha
Umesomeka mkuu ila sijui kama John Heche yupo humu, kama una maswali zaidi kuhusiana na huyu mbunge kuna whats app group linaitwa Jambo Tarime utawapata viongozi walio wengi wa Tarime. Karibu sana tujumuike pamoja tuijenge Tarime yetu
 
1.Ni kweli huu ukimya ndio uliotuahidi ukifika bungeni?

2. Pamoja na harakati zote zile tunanyeshewa pamoja,tunapigwa mabomu Tarime tukisukuma utangazwe mshindi umetususa watu wa Sirari?

3. Maendeleo uliyowaahidi wananchi wako tutayapata ukiwa nje ya bunge kwa suspension kweli?
Nawasilisha
Ndg.unapoanza kulalamika hasa unapotaja suala la maendeleo uwe more specific.
Kiukweli Mh.Heche anajitahidi sana,labda kama una agenda ya mahali ulipo
 
John Heche mbona sio mkimya bungeni mkuu, au hufuatilii bunge au ni mambo gani unataka ayazungumze na hajayazungumza?
 
Naibu spika anakandamiza upinzani alafu unategemea mbunge akuletee maendeleo? Pambana kuomba Naibu Spika aache Udikteta bungeni maendeleo ya jumla utayaona tu.
 
wanajimbo la tarime vijijini nashukuru kwamba you are highly engaged with my concern to wake up our sleeping regional giants in terms of development.
ni kweli John Heche ni mzungumzaji mzuri bungen na hyo ni moja ya sifa ilo mpeleka bungen kwa ajili ya kutetea wanyonge.
İla isiwe blah blah nyingi its now a time for him to implement agenda into reality and act as he promised.

please isiwemo siasa kwenye suala la maendeleo.
 
Naibu spika anakandamiza upinzani alafu unategemea mbunge akuletee maendeleo? Pambana kuomba Naibu Spika aache Udikteta bungeni maendeleo ya jumla utayaona tu.
Mkuu naibu spika haleti maendeleo jimboni kwa mbunge ila mbunge anauwezo wa kuhamasisha maendeleo jimboni kwake
 
Labda tungeanzia hapa, hapa Sirali aliahidi nini, Na je hakujafanyika chochote?...Tutambue pia utawala huu umebana hata vile visenti vilivyokuwa vinaelekezwa majimboni, hali hii IPO karibia majimbo yote nchini. Hali imekuwa kiangazi haswaaa. Ila kwa kuwa Heche hupitapita humu atalichukua hili kama changamoto. Ingawa mie naona anafanya vizuri kupitiza katibu wake bwana Mrimi.
 
Uvccm watu wa ajabu sana mbunge wenu tunamtamani angekuwa kwetu we unaongea tu utumbo haya kachukue posho yako

Usitoe povu mkuu ni maóni yangu kama mwananchi huru toa yako na yataheshimiwa ama kukosolewa
 
John Heche Anakusanya Kodi? Kazi Ya Heche Ni Kuwasilisha Matatizo Ya Jimbo Serikalini. Sasa Serikali Hii Ambayo Kucha Kutwa Kupigana Na Matajiri Na Machinga Kama Haiyashughulikii Matatizo Yaliyo Wasilishwa Na Wabunge, Heche Afanye Nn Tena?

Nenda Kwa Mwenyekiti Wako Magu Mwambie Aache Kubagua Majimbo, Yale Yanayo ongozwa Na Wapinzani Anayanyima Maendeleo. Kwani Kwa Kufanya Hivyo Hata Ww Lumumba Unaumizwa. Mwanao Akipelekwa Hosp Isiyokuwa Na Dawa Atakufa.
 
1.Ni kweli huu ukimya ndio uliotuahidi ukifika bungeni?

2. Pamoja na harakati zote zile tunanyeshewa pamoja,tunapigwa mabomu Tarime tukisukuma utangazwe mshindi umetususa watu wa Sirari?

3. Maendeleo uliyowaahidi wananchi wako tutayapata ukiwa nje ya bunge kwa suspension kweli?
Nawasilisha
Maendeleo gani aliwaahidi, mbona hujasema tukuunge mkono!
 
Back
Top Bottom