President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,548
- 89,516
Unaongea mashudu wewe nzi wa kijani kwani nyie kipindi mnafanya kidnaping na ransom kwa wapinzani sio Vandalism? Mmefake Uchaguzi sio Vandalism? Mmefanya mascare sio vandalism?Hili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
mdomo mali yao wajaribu kuingia tena barabarani waoni shaba ilivyo tamuNaona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Zimebaki siku 8 tu, tuwaone wanaingia tena.mdomo mali yao wajaribu kuingia tena barabarani waoni shaba ilivyo tamu
Umeandika uharo.Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.

Nawasilish
tunaingia na lazima tuwatoe nyie wauaji na mafisadi.Zimebaki siku 8 tu, tuwaone wanaingia tena.
Watu wanaingia na Sasa hivi ni Genz ,kaka zao na wazazi.lazima nyie tuwatoe na tuwakamate na mnyongwe wewe na Samia kwa mauaji mliyofanya.Watanzania tumeamka na hatuogopi risasi tunaposafisha nchi yetu.mdomo mali yao wajaribu kuingia tena barabarani waoni shaba ilivyo tamu
Kulikuwa na massacre na wafadhili wa vurugu na Samia, tume ya uchaguzi, genge la mauaji la Samia linaloongozwa na Mafwele. Bila mauaji, utekaji na utesaji wa genge la Samia wala kusingekuwa na maandamano sasa ndiyo amezidi kuharibu baada ya udanganyifu mkubwa uliofanyika katika kile kilichopaswa kuwa ni uchaguzi. Kuhamisha magoli hakutawasaidia chochote.Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini walipanga kufanya siku hiyo?
Kama hujibu maswali haya kwa ufasaha basi wewe utakuwa ndiye mfadhili wa vurugu hizo.
Nawasilisha
Swali lako haliwezi kuitia doa institution inayosimama na Gen Z wanaopambania kesho yao.Hili swali lisipojibiwa kanisa katoliki litakuwa limejitia doa.
cruise 2 tu zilimaliza ujinga wote darWatu wanaingia na Sasa hivi ni Genz ,kaka zao na wazazi.lazima nyie tuwatoe na tuwakamate na mnyongwe wewe na Samia kwa mauaji mliyofanya.Watanzania tumeamka na hatuogopi risasi tunaposafisha nchi yetu.
Kuwauwa watu kwa kuwapiga risasi za moto.Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.