Nakutuma Kassimu Majaliwa.

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,137
8,784
Nianze kwa kukupongeza mh wazir mkuu,mwajiliwa namba 3 wa serikali ya awamu ya tano,kwa kazi nzuri unazozifanya hakika wewe ni jembe.
Baada ya pongezi naomba kuanzia sasa utafte muda uende kweny chama kikuu cha uvunaji wa miwa kinaitwa KCG chama iki kiko morogoro,wilaya ya ifakara uende ukafanye kama ulichokifanya jana hapo tabora,ukitoka hapo uende pale Turiani kuna chama kikuu cha uvunaji wa miwa kinaitwa MOO ukafanya hivyo hivyo ulivyo fanya tabora,ninahuakika ukifanya hivyo,utakuwa umesaidia vyama vingi vya ushirika kuamka na kuanza kufanya kazi kama ilivyokuwa zamani.

Nimelazimika kukutuma wazir mkuu,ni kwa sababu ya mamlaka niliyonayo km mwananchi nanyi ni watumishi wetu,sie ndo mabosi wenu fanyeni kazi nanyi tunawaona mtapata stahiki zenu kama zilivyoelezwa vyema.

Ninaomba ripoti baada ya kazi,asante Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom