Nakutakia safari njema rais wangu kikwete

hii laana itawapata wote walio mpa kura huyu jamaa....alikuwa anasubiri kuhesabiwa then asepe akaangalie balance kwenye account zake....shame on you mr.president

Is better if you write mr. Dhaifu
 
Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.
Safari zako siziunga mkono labda kama unaenda malawi kutatua mzozo wa mpaka.
Lakini sina budi kukubaliana na wewe kwa kua ndio uliyetangazwa na tume ya uchaguzi. Na watanzania walio kuchagua wameshafuzu mafunzo kwa vitendo, naamin safari inayokuja watakua makini.
Mungu akujalie uende na kurudi salama. mia
Mkuu umefanya siku yangu inaisha vizuri kwa jinsi ulivyopanga maneno yako, kweli inabidi tumuombee salama katika safari zake.
 
Huyu baba hana aibu kabisa.yaaani kusemwa semwa kote bado tu hasikii..khaaaa
 
Majuto ni mjukuu nashangaa mnajuta kama hivyo then mnaeza rudia makosa next election
 
Akistaafu awe hata air host (ess?) maana u Pilot nafkiri unahitajigi maamuzi magumu!!
 
Kama ni kweli basi atakuwa ametengeneza safari ya 336 nje ya nchi! Obama katengeneza 47!
 
Back
Top Bottom