Nakutaka wewe.....................

waungane na mzee wa bado yupo yupo itakuwa nzuri tu.
 
nenda sharobaro records ukafanye kazi man mashairi yametulia kabisa kaka.
 
anataka kuanza kuvaa surual chini ya makalio na kutoga masikio
 
naona nikuongezee mistari kaka
"wa kike wewe wa kike, unayechanganya bongo langu
unifanyae nifike, nadhani nakula changu
 
naona nikuongezee mistari kaka
"wa kike wewe wa kike, unayechanganya bongo langu
unifanyae nifike, nadhani nakula changu
La la laaaaa i seee njoo tupige kollabo...................
 
anataka kuanza kuvaa surual chini ya makalio na kutoga masikio
Mi sitafanya hivyo ntaendelea kuvaa suti au shati na tai kama msabato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…