Kabisa live bila kuambiwa.Uliona mazishi yake...
Toa kwanza hela ya lambilambi siyo unaleta porojo tu hapa, mm ndo nilikuwa mwenyekiti nitawasilisha kwa familia bila tabu.Leta picha za mazishi ikiwemo na picha yake hapa, udhibtishe Kauli yako, tofauti na hapo hizi ni habari za uzushi.
NB: usiende ku download picha za mazishi za watu, sababu namfahamu kwa sura.
Leta picha za mazishi ikiwemo na picha yake hapa, udhibtishe Kauli yako, tofauti na hapo hizi ni habari za uzushi.Toa kwanza hela ya lambilambi siyo unaleta porojo tu hapa, mm ndo nilikuwa mwenyekiti nitawasilisha kwa familia bila tabu.
Kama hadhi ingekuwa ni hadhina hata mimi ningefanya hivyo, lete lambilambi kijana ndugu yako amekufa acha visingizio.By the way siwezi kubishana na mtu anaetamka "lambilambi" badala ya rambirambi. Nitajishushia hadhi.
Am out.