Nakutafuta Annrosse nikuone mara ya mwisho

Mi hawa wa kukosea namba nshawala kama wawili hivi, kamoja kakapiga , mara nimekosea namba,nikakauliza uko wapi,kakajibu" Nipo Sai"(Mbeya) chatisha sana kama mwezi, siku ya siku nikakavutia uzi kakaibuka Mabatini(Mbalizi Road-Geto) Kakaliwa baada ya kula chips yai na cocacola.

Wa Pili hivo hivo mimi ndo nilikosea namba, kusikia sauti nikavutiwa ,pause ,chatisha,pause ,pause chatisha,,, Kidawa mtoto wa Kingoni huyu hapa geto, stori, touch,stori,touch mara mboooo.....huyu alitoka bilabila,hakuna cha kiepe wala nauli..

Sijawahi kuwatia machoni mpaka leo,

Takribani miaka 10 iliyopita.
Kuna mdada ali wrong number..
Katika maongezi nikaona yuko interested na kunijua.
Nikajiongeza kila kitu kikaa kaa kama nilivyotaka,
Siku ya kuonana sasa,kitu kilichokuja ni siri yangu.

Mpaka leo sijaribu hio michezo.
 
Nakutafuta Annrosse. Ni wewe tulikua tukiongea kwenye simu zamani sana. Ilikua miaka ya 2004. Ulikua ni ule msimu wa simu za bure Zantel tukiwa bado watoto Annrosse. Kuna siku nilikosea namba ukapokea wewe. Nilichukua muda kidogo nikakupigia tena kukuomba urafiki. Ulisita sana mwanzo ila sikukata tamaa kutokana na uzuri wa sauti yako, Hekima na majibu yako vilinipa homa.
Sikukata tamaa Annrosse nilikusisitizia sana. Katika maongezi tuliongea mengi kama marafiki lakini nilikua najifunza mengi kwako na kuzingundua weakness zako ili kuukonga moyo wako.

Hakika sijawahi hata kuiona sura yako ila frankly speaking nilikupenda sana Annrosse na niliamini ipo siku nitakuona. Nakumbuka usiku mmoja tuliongea mpaka asubuhi na usiku huo ndio ulinikubalia kuwa mpenzi wako. Nilikua na furaha ya ajabu Annrosse. Uliniambia ni kiasi gani ulinipenda ila hukuwa unaniamini mwanzo.

Huu ulikua ni mwanzo wa safari yangu ya mapenzi na msichana niliyempenda mno japo sikuwa namjua wala kumwona. Sijui kama ulikua ni utoto au ujana kwa savabu yote haya yalitokea nikiwa na umri wa kama miaka 18 - 19. I was so deep in love.

Nakumbuka tuliongea mengi sana tukiwa kwenye uhusiano. Ulinieleza kuhusu maisha yako hapo nyumbani kwamba unaishi na baba kama sikosei na ulikua Dar kwa wakati huo mimi nikiwa Arusha. Ulikua pia unaishi na mdogo wako anayeitwa Mikah na mara nyingi nikikupigia ukawa unasema naosha nguo za Mikah nikakwambia si kuosha nguo ni kufua nguo.

Ulinitambulisha wimbo wa Lionel Richie unaoitwa Good Morning. Nilikwambia nampenda sana Lionel Richie ila ukashangaa why siujui wimbo wake Good Morning. Nilikwambia Lionel Richie ana nyimbo nyingi na nikakambia kuna nyimbo zake kibao pengine we huzijui. Ukaniambia ipi kwa mfano? Tell me your favourite song of him kama siijui nidai chochote. Nikaanza kuuimba wimbo wa Leonel Richie Cinderella. Cha ajabu it was also your best song na tukawa tunauimba wote. For the first time. It was so romantic. Baadaye ukaanza kulia then ukaniambia kitu ambacho sitokisahau maishani mwangu. Ulisema ''Annrosse nimeshikwa. Nakupenda sana ,,,,,,,,,,,,''

Nakumbuka pia ulikua ukinipigia alafu unakaa kimya unaniambia nikuimbie wimbo wa Jay Z forever young kile kibwagizo cha mwanzo tu. You relly loved it lakini ulikua huwezi kukiimba. Tulipendana sana na mpaka miadi ya kuonana na kuona tuliiweka Annrosse.

Tuliwasiliana kwa miaka kadhaa tukiwa deep in love. Ila nakumbuka baadae niliibiwa simu. Sikuwa na kazi kipindi kile na wala sikuwa na uwezo wa kumiliki smartphone hvyo nba yako ikapotea. Kuna mahali niliiandika namba yako na niliipata baada ya kama miaka miwili Annrosse. Hukuwa unapatikana tena na sikukupata milele. Nakumbuka ulinambia ile line ya Zantel ulikuwa nayo kwa sababu yangu tu. Sielewi labda baada ya kupotea kwa muda nawe ukakata tamaa ukatupa line yako.

Nakutafuta Annrosse. Nipo Arusha nimeoa na nina watoro wawili sasa. Tafadhali jitokeze hata nikuone. Hata kama umeolewa naomba nikujue walau nikuone hata mara moja kabla sijafa. Ewe ndugu kama unamfahamu mwanamke anayeitwa Annrosse mwenye mdogo wake wa Kiume anayeitwa Mikah, popote alipo naomba unijuze.
Atakuwa na umri wa kati ya 27 - 35 kwa sasa mwaka huu wa 2022. Na hata kama atakua ametangulia, natamani hata kuliona kaburi lake. I swear to my living God ntakuja kuliona.

Mungu anisaidie
Na wiki ijayo bei ya mafuta inapanda! Hakika utawakumbuka watu wengi sana. Huyo Annrose ni mwanzo tu.
 
Annrose hebu jitokeze, jioneshe, simama, mbele za watuuu

Mbele ya mjuba jembebutu,

aisee hizi ishu huwa zinatokea na katika sisi tukiulizana basi utakita kila mtu anamtafuta mtu fulani
 
Kaka ipo siku, hayo maisha wengi tumeyapitia huna Budi kusahau
 
Aisee very touched
 
Mkuu piga nyeto kwanza au ingia sinza upate cha mkwezi,,, sometimes huenda ni genye tu zinakusumbua.....

Nawasilisha...
 
Nakutafuta Annrosse. Ni wewe tulikua tukiongea kwenye simu zamani sana. Ilikua miaka ya 2004. Ulikua ni ule msimu wa simu za bure Zantel tukiwa bado watoto Annrosse. Kuna siku nilikosea namba ukapokea wewe. Nilichukua muda kidogo nikakupigia tena kukuomba urafiki. Ulisita sana mwanzo ila sikukata tamaa kutokana na uzuri wa sauti yako, Hekima na majibu yako vilinipa homa.

Mimi kuna namjua mtu anaitwa annarose ana miaka 28 cjui kuhusu mdogo wake ila anakaa dar ana sauti nzuri pia aweza kua ni huyi
 
Back
Top Bottom