Mm nshatupa line Yao kila nkijiunga na kifurushi hawanipi bundle ya internet..........nmejaribu kuwapigia simu wakanambia watarekebisha....mpk Leo hawajarekebisha nkaamua kuitupa line Yao!!
Mm nshatupa line Yao kila nkijiunga na kifurushi hawanipi bundle ya internet..........nmejaribu kuwapigia simu wakanambia watarekebisha....mpk Leo hawajarekebisha nkaamua kuitupa line Yao!!
mimi nilitupa zamani, ilikuwa kila nikiweka bundle line inakuwa haiconnect internet, nikiwapigia wananiambia wanafanyia kazi baada ya 24hrs itakuwa safi, hakuna kitu mpaka bundle siku zinakwisha bila kutumika! nimeshajifunza sasa hivi nitakuwa narekodi mazungumzo yangu na kampuni yoyote inayonipatia huduma, kuna fursa ya kujipatia pesa kutokana na huduma zao mbovu!
Wanajamvi tangu kombe la dunia limeanza hawa Airtel wamekuwa wakinilazimisha kunitumia updates za mechi zinazochezwa na kukata ela toka kwenye credit,wakati sijaomba kujiunga na huduma hiyo,nimewapigia huduma kwa wateja wamesema niandike STOPNOW kwenda 15033,lakini msg haipokelewi,huu si wizi?
TCRA wataishia kupewa rushwa tu ila malalamiko ya wengi hawayafanyii kazi
halafu mamlaka hii iko chini ya wizara anayosimamia Makamba halafu anataka urais wa nchi. hahahaha bongo kuna vituko sana
Yupo bize kugombania urais badala ya kushughulikia malalamiko ya wengi
Mimi jana wamenikata buku jero langu kwa upuuzi wao huu wakulazimisha watu kutumiwa update za kombe la dunia wakati hata sijaomba hiyo huduma, niliwapigia simu wanajikanyaga. Nimeona dawa yao unawakopa kifurushi cha jirushe cha wiki nzima mpaka kombe la dunia liishe tuone watakata nini isitoshe wengine niwapenzi wa mchezo wa lagibi siyo mpira.
Niwizi ndio,mi nimechoka nao kabisa ukizingatia mimi na mpira ni vitu viwili tofauti,nishaanza kufikiria kwenda tigo.