Nakusudia kufungua kesi ya madai

ngapoleka

Senior Member
Mar 20, 2013
143
64
Mtoto wangu ambaye yupo kidato cha nne sasa mwaka jana alizushiwa kesi ya KUBAKA ktk mazingira ya ajabu sana.
Tulienda na kesi mpaka mwisho ilitupiliwa mbali baada ya polisi ambao ndio mashahidi wa Jamhuri kushindwa vibaya kuthibitisha chochote.
Nakusudia kufungua kesi ya madai.Wapi nitapata msaada wa kisheria?
 
Duh!!!poleni mkuu. Subiri waje wajuvi wa sheria mkuu utapata mwongozo
 
Mtoto wangu ambaye yupo kidato cha nne sasa mwaka jana alizushiwa kesi ya KUBAKA ktk mazingira ya ajabu sana.
Tulienda na kesi mpaka mwisho ilitupiliwa mbali baada ya polisi ambao ndio mashahidi wa Jamhuri kushindwa vibaya kuthibitisha chochote.
Nakusudia kufungua kesi ya madai.Wapi nitapata msaada wa kisheria?
Ukadai nini?? (madai juu ya nini)
Eg. Costs
Declarations
Malicious prosecution ect
Cha msing ili tukupe ushauri lazm uwe mwazi (open) unachotaka udai
 
Sanasana Ni Malicious Prosecution.. Ila Kama Kulikuwa Na Probable Cause Kesi Inaweza Kufeli. Kwa Mfano Huyo Kijana Alionekana Na Mbakwaji Muda Mchache Kabla Ya Tukio Kufanyika.
Ila Ungetoa Mazingira Yalivyokua Na Mwenendo Mzima Itasaidia Hata Kukuambia Kama Itawezekana Au Lah!!
 
Kuna uthibitisho kwamba mbakwaji alibakwa? Kesi ilitupiliwa mbali kwa sababu ya uzembe wa prosecutor? Alikuwa aquitted au ni nole prosequie? Angalia usije sababisha kijana akajikuta ana hatia.
 
Ukadai nini?? (madai juu ya nini)
Eg. Costs
Declarations
Malicious prosecution ect
Cha msing ili tukupe ushauri lazm uwe mwazi (open) unachotaka udai

Kama ni mwanasheria huwezi muuliza hivi!! ameshakueleza scenario ni kazi yako kuangalia je katika hali hiyo nini anachoweza kudai sio unataja tu vitu sasa wattegemea yeye tena akupe opinion anajuaje sasa! think wisely.

Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria za korokoroni Malicious Prosecution(MP) ndio suala la msingi therefore declaration/costs zinaombwa within na ndo dhumuni la kufungua MP. Anyway ngoja tusubiri na wataalamu waliosomea sheria watuambie.
 
Achana na hayo mambo. Maadam kesi imeshakwisha usipiende kujiingiza kwenye matatizo yasiyo na tija... Unaweza kufungua kesi ya madai alafu fidia utayopata utaambiwa tu jeshi likuombe radhi na kukusafishia familia yako... Hapo utakuwa umeshatumia pesa nyingi sana na hussles za kutosha...
 
Hilo peke yake likifanyika ni kubwa sana na litamfanya mshindi
 
Atajutia maamuzi yake. Mwache tu afungue mashitaka... Itamgharimu zaidi. Kuna msemo usemao, ukisimama kumrushia mawe kila mbwa anayekubwekea, hutofika mwisho wa safari yako...
 
Achana na hayo mambo. Maadam kesi imeshakwisha usipiende kujiingiza kwenye matatizo yasiyo na tija... Unaweza kufungua kesi ya madai alafu fidia utayopata utaambiwa tu jeshi likuombe radhi na kukusafishia familia yako... Hapo utakuwa umeshatumia pesa nyingi sana na hussles za kutosha...
Well said, let bygones be bygones!
 
Anza ukurasa mpya wa maisha matulivu maana polisi, mahakamani na hospital ni adui wa haki wa peace and happiness in this beautiful and wonderful world!
 
Talk as a lawyer ,scenario c IPO waz hapo? Kama mwanasheria hata kama yeye hajawa open hujui nn anaweza akadai hapo?
Lawyers should not decide on behalf of clients what do they think, Lawyers should remain advice on SUBSTATIVE & PROCEDURAL on what clients decide (e.g to wave) clients should express TO LAWYERS what service do they seek for assistance.

Huu uanasheria Njaaaa ili mteja atake wewe unavyotaka ili upate hela hata ya ku-draft PLEADINGS ili uishi mjini na upate KODI ya ofsi HAIFAI kamwe.

Nenda LST kwanza upate ethics za fani!!!!
 
Sanasana Ni Malicious Prosecution.. Ila Kama Kulikuwa Na Probable Cause Kesi Inaweza Kufeli. Kwa Mfano Huyo Kijana Alionekana Na Mbakwaji Muda Mchache Kabla Ya Tukio Kufanyika.
Ila Ungetoa Mazingira Yalivyokua Na Mwenendo Mzima Itasaidia Hata Kukuambia Kama Itawezekana Au Lah!!
Kwani kila kesi ikitupiliwa mbali ni malicious prosecution???

Ndo maana inahtaji mzingira wawe wazi kutoka kwa CLIENT!. the rolenof a lawyer is to assist both the court and the client sio kuwa shabiki wa client!.

NB: Kwa kesi km hz (MP) kufaulu huwa sio kazi lahc lazm azbitishe element zote SITA (6) refer case laws!.
 
Kama ni mwanasheria huwezi muuliza hivi!! ameshakueleza scenario ni kazi yako kuangalia je katika hali hiyo nini anachoweza kudai sio unataja tu vitu sasa wattegemea yeye tena akupe opinion anajuaje sasa! think wisely.

Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria za korokoroni Malicious Prosecution(MP) ndio suala la msingi therefore declaration/costs zinaombwa within na ndo dhumuni la kufungua MP. Anyway ngoja tusubiri na wataalamu waliosomea sheria watuambie.
Mbona umesema MP pekee??? Kwan false imprisonment hawezi c aliwekwa ndani???

Angekuwa ofsin kwang ningemuulza zaidi ili kutengeneza mazingira sahihi ila km ni wewe ungekurupuka ktengeneza PLEADINGS (PLAINT)
 
Kama ni mwanasheria huwezi muuliza hivi!! ameshakueleza scenario ni kazi yako kuangalia je katika hali hiyo nini anachoweza kudai sio unataja tu vitu sasa wattegemea yeye tena akupe opinion anajuaje sasa! think wisely.

Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria za korokoroni Malicious Prosecution(MP) ndio suala la msingi therefore declaration/costs zinaombwa within na ndo dhumuni la kufungua MP. Anyway ngoja tusubiri na wataalamu waliosomea sheria watuambie.
Kufungua madai kwa maoni yko umefkilia TORT (Malicious p) ili kufungua tort muda ni 3 years je jiulize kwan ameweka alitendewa lini????? Ili kujua LIMITATION OF ACTION muda hajaonesha halaf unakurupuka maelezezo yanajitosheleza.

Je anadai kiasi gan????? Pecuniary Jursdiction. Mwache mkurupuke akaktane na P.O halaf alipe gharama!!!
 
Kwani kila kesi ikitupiliwa mbali ni malicious prosecution???

Ndo maana inahtaji mzingira wawe wazi kutoka kwa CLIENT!. the rolenof a lawyer is to assist both the court and the client sio kuwa shabiki wa client!.

NB: Kwa kesi km hz (MP) kufaulu huwa sio kazi lahc lazm azbitishe element zote SITA (6) refer case laws!.
Mkuu Ndomaana Nikasema Atoe Mazingira Na Scenario Nzima Iwe Disclosed. Labda Hatuamini Au Anaona Uvivu Kuandika. Maelezo Yake Yako Too Vague,Na Hayakupi Mtu Mwanga Wa Nini Unafanya. Btw Niliposema Sanasana Sikumaanisha Solerly Ni M-P. Afterall Hawa Ndo Wateja Na Apo Ana Hasira Anataka Kukomoa Au Alikua Hajui Kaambiwa Anaweza Kulipwa Akachangamkia Fursa Kisa Kuna Fedha Ndo Kaja Apa Aone Uwezekano Upo Wa Kupiga Iyo Ela.
Pamoja Katika Sheria!!
 
Back
Top Bottom