Mkuu wacha tuu aise huyu kiumbe hapana aise haswa hawa wakubwa akina cobra na chatu na anaconda au black mamba au wale wa kijani wale duuh mkuu Bishop Hiluka hapana aise
Mkuu wacha tuu aise huyu kiumbe hapana aise haswa hawa wakubwa akina cobra na chatu na anaconda au black mamba au wale wa kijani wale duuh mkuu Bishop Hiluka hapana aise
ni kweli sijawahi ona nyoka mweupe. Hawa wagombea wetu wa mwakani wakijua ana asili ya albinism mbona atageuka chambo manake huyo hata umimkata mkia hakuna kesi.
Albino Python. Chatu mwenye ulemavu wa ngozi. Hali hii hutokea sana kwa nyoka wa aina hii. Nyoka huyu huzaa na hatagi mayai kama nyoka wengi wafanyavyo.
Nyoka ni watambaachi au reptilia wasio na miguu. Kuna takriban spishi 3,000 duniani wako kwenye mabara yote nje ya Antaktiki na Aktiki. Kama reptilia wote wana damu baridi na ngozi ya magamba. Wote ni wala nyama na spishi mbalimbali hutumia sumu kwa kuvionda lakini nyoka walio wengi hawana sumu wanashika windo kwa miili yao au kwa mdomo tu. Wote wanazaa kwa njia ya mayai lakini spishi kadhaa hubeba mayai ndani ya mwili hadi wadogo wamekua tayari. Mijusi wasio na miguu wanafanana sana na nyoka lakini nyoka hawana makope machoni wala masikio ya nje. Kuna nyoka ndogo wenye sentimita kumi tu wakiwa wazima na nyoka kubwa hadi urefu wa mita 7.6. Nyoka anaweza kuishi kuanzia miaka 5 mpaka miaka 7tu Mkuu.@Marire