Ila kiukweli siku hizi kuolewa sio ishu sana. I'd rather focus on having my ducks in a row.... niwe na career nzuri, niwe na assets za kueleweka, kwa kifupi niwe na maisha mazuri and the rest will follow. Smart men are attracted by smart and organized women who know what they want in life.
Sasa we danganya watu eti akifika 30 kuolewa ni shida, wakati akiwa umri huo bila kazi ya maana na maisha ya kueleweka mnawaangalia kama nyanya mbovu sokoni.
Maisha ya siku hizi sio kama zamani lazima wote tuchakarike lazima mwanamke ajipange ili kesho na kesho kutwa mume akifail mke yupo kwa ajili ya kumshika mkono na kuendelea na maisha. Sio mume afilisike alafu ndugu zake waanze kumsimanga mke kua ndo kamfilisi ndugu yao!!!
Mwamamke hata ukiolewa above 30 ukiwa na maisha mazuri you earn respect sio unaolewa kisa umri umeenda unaingia kwa mume na begi la nguo utapata stress hatari!!!