Nakushauri usomee program ya Bsc. in Optometry

mkuu platun mtu mwenye diploma ya clinical medicine anaweza soma hiyo
im not certain mkuu, sababu zikiwa ni vile vigezo vya uzoefu zaidi ya miaka 2 na knwledge dhidi ya ocular diseases managements ila zaidi kitakachombana ni ophthalmic dispensing knwlge.
 
watanzania wengi hawatambui tu.hizi kozi mpya au zisizokuwepo tanzania ni nzuri sana ajira zake zinaweza kuchelewa lakini utakapo pata hutajuta.Mfano kuna kozi Tanzania kama urubani wengi walioendakusoma hata kama form six wako mbali sana kimaendeleo na kipato.Mfano wa kozi ambazo adimu na ukiwafanikiwa kuipata hutajuta INVESTIGATION COURSE ambayo kwasasa bado Investigater wa kujitegemea serekali haijawaruhusu bado lkn ukiwa na certificate tu kampuni za ulinzi na hata majeshi pia watakuhitaji.Zingine DOGS BEHAVIERS,MARINE,SECURITY COURSE,INTERIOR DESIGN,NK.
 
mkuu tatizo ni mfumo wa ajira za tanzania sio mzuri kwa mfano kuna kozi kama biotechnology ni kozi nzuri sana lakini wahitimu wake hawatambuliki wako tu mtaani sasa hizo ulizotaja ndio kabisaa
 
on additional to data nilizokupatia utapewa almost 3.1m straight from HESLEB, na iyo 1.3m plus 2.5k utaongezea wewe binafs bt im pretty sure kwa fedha utakazopewa unaweza ukajilipia hiyo fee wewe binafsi na change kibao tuu ztabk kufanyia mambo yako mengine mengine.
cz bajet yako optometrist ya mwaka ni almost 4.7 up to 5.4m iyo ni yako wewe mwenyewe (pockt money plus research) na utapewa ila kwa awamu means semister moja na ile ya pili.
Mkuu pesa ya michango ni kiasi gani au unapoingia semister ya kwanza kwa first year anatakiwa aje na Tsh ngapi? Msaada plz
 
Sawa umewasaidia ila umeshindwa tu pia kuwaambia ukweli kuwa programs mpya zozote huwa zinachukuwa muda hadi kuja ku click katika industry hivyo wawe tayari pia kwa usumbufu wa kuajirika. Kila kitu hata kama ni kipya lakini kina madhara yake au changamoto zake.
Nikweli lakin sio kwenye optometry... Alaf KCMC sio kuwa ndo inaanzisha bali walikuwa wanatoa DIPLOMA ya macho.
 
Kama umehitimu kidato cha sita PCB, PCM, CBG au PGM nakushauri uchague Bachelor of science in Optometry. Ni program mpya katika chuo cha KCMUCo, Moshi.
Optometry ni eye health care professional.
Nakaribisha maswali Zaidi.
Samahan mkuu, me nahitaj sana kusomea Bsc in Nursing, unaweza kunishauri kwa hii course? Nikimaanisha vigezo, ada, pamoja na ajira. Natanguliza shukran.
 
Mkuu pesa ya michango ni kiasi gani au unapoingia semister ya kwanza kwa first year anatakiwa aje na Tsh ngapi? Msaada plz
pindi utakapopata nafasi KCMUco bhasi kianzio huwa ni sh. 1M almost kwa coz zote isipokuwa physiotherapy na nursing tuu. wao huanza na 5K.
hope nimekujibu vyema mkuu.
 
Samahan mkuu, me nahitaj sana kusomea Bsc in Nursing, unaweza kunishauri kwa hii course? Nikimaanisha vigezo, ada, pamoja na ajira. Natanguliza shukran.
kwanza kuhusu ajira baada ya kuhitimu apa KCMUco ondoa shaka kabisa, kikubwa ni nafasi tuu,
pili kuhusu vigezo ungesoma course guide book japo unapaswa uwe na ufaulu mzuri kwa misingi ya kuepuka ushindan , tatu kianzio cha ada yako ni 5K pindi unapokuja kwa ajili ya registration mkuu,
hope nimekujibu hoja yako. kwa maarifa zaidi dnt hesitate to ask more.
 
Asante sana, inatosha kwa maelezo yako! Ubarikiwe.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hivi mkuu naomba unipe msaada kidogo hii course ya physiotherapy ina husiana na nn hasa yaan mtu akihitimu anafanya kaz gani hasa hospital
 
kwanza kuhusu ajira baada ya kuhitimu apa KCMUco ondoa shaka kabisa, kikubwa ni nafasi tuu,
pili kuhusu vigezo ungesoma course guide book japo unapaswa uwe na ufaulu mzuri kwa misingi ya kuepuka ushindan , tatu kianzio cha ada yako ni 5K pindi unapokuja kwa ajili ya registration mkuu,
hope nimekujibu hoja yako. kwa maarifa zaidi dnt hesitate to ask more.
Plus 255K ( -49600 for NHIF card holders ) kwa ajili ya michango.
 
Back
Top Bottom