Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

Mkuu Smart911 ni mwanaume . ..
Hamna bwana imani tu hizo. Toka mwaka 1999 namiliki magari mbalimbali na nmewahi yatumia kwa style hiyo na yote nliishia kuuza ,kuongeza pesa kununua jingine. Hizo ni imani mbofumbofu tu.... Ingekuwa hivyo mademu K zao zingekufa kiajabu ajabu sana....wewe mpaka hapo umetiwa na wanaume wangap mpaka sasa? Na je K yako ikoje? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai ilianza kuwa tamu ila ukatia magadi, inaonesha kabisa huna experience na haya mambo,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We mtoto Qumer kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mada yako inahusu nini nyuchi au Alphard? Au inahusu watu wenye magari na wasio na magari?

Anyway kumiliki gari ni kumiliki usafiri wako binafsi sijajua kama kuna uhusiano na utajiri

Kigari chako unakitia nuksi mwenyewe siku umeingia mtaroni umevunjika miguu unajiuliza tatizo nini kumbe chanzo ni wewe mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom