Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

Ingekuwa ndo sababu hii gari ingekuwa haifai kabisa....maana nmeshagongea watoto si chini ya 20 na sijawahi hata ichubua. Na guest house ukienda je huoni nako kunaweza pata ajali?au ghetto/home nako huwezi pata ajali? Just try to reason or speak logically.



Unaweza pata ajali kizembe zembe tu kwa mi nuksi ya kufanyia sex kwenye Gari

Mi hata Nikola mzigo saa 9 usiku lazima nioge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom