financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Tuliza mshono huo chizi wewe shauri yako.Unazalishwa unaachwa. Leo unaniona chizi baada ya kukukwepa na kukataa kukutumia pesa?unapenda sana pesa mtaolewa wote shauri zenu.
Afu umekosea kuguess sina hata mtoto wa kusingiziwa 😀😀 , eti Alphard au ulikua unaota huko jalalani eeh?, usiku mwema chizi. Najichosha tu kuongea na vichaa, ukipona tutapiga stories. Bye