kwani kuuliza ni kosa ?
haya mwaya.sore mwaya Mwita Maranya hakuwahi kuwa mutu yangu ya karibu
was just chit chat tu
Mamndenyi yani unasubutu kunikana hadharani kwakuwa tu umemdondokea ndugu yangu Slave?sore mwaya Mwita Maranya hakuwahi kuwa mutu yangu ya karibu
was just chit chat tu
Mamndenyi mimi niko poa sijui weye> afu nimekumisi ujue... (Slave usiione hii)🙂Mwita Maranya
mzima lakini
kiukweli sidondokii kihiivyo
bado nipo nipo tu
nilikatisha vibaya hapo kwa dogo ikabidi nimpe kadi ya be patient.
upo kumbe ?Abeeee...!
upo kumbe ?
Hivi unapomuambia mtu unampenda huwa unamaanisha nini hasa?
shem hajambo eeeeee?Ni teleee
shem hajambo eeeeee?