hiyo sio sababu nzito,atakwambia,mimi nitakuwa nyumba ndogo yako.amuambie ukweli tu,kuwa yeye hana feeli8ngs zozote kwake.na hizo offer zikatae,maana kama unampa green lightmwambie unajiandaa kwa harusi,unaoa soon
haaaa haaa.akimwambia na mimi nina ngoma pia.na itakuwa vizuri,kwani wote positiveMwambie hata mi nimekupenda ila nahesabu siku za kuishi na sitaki ujute baadaye,hapa nilipo nina ngoma.
Dah hapo patamu hahahahahahhahhaaaa haaa.akimwambia na mimi nina ngoma pia.na itakuwa vizuri,kwani wote positive
Mwambie huwa kipindi cha baridi akili zinakuruka. Hatapenda kuolewa na chizi na mchezo utakuwa umeisha.
Kuumia lazima wala hakuepukiki, we mchane live tu tena ukiwa serious kabisa na hizo offer usitishe manake ndo zinazompa matumaini! Ukijifanya baba huruma basi jiandae kumpoteza wa ukweli manake akijagundua tu lazima kinuke!!
ajihaaaa haaa.akimwambia na mimi nina ngoma pia.na itakuwa vizuri,kwani wote positive
nimeshindwa jinsi ya kumkwepa huyu dada.
Mrembo kweli anasema kanizimia ,ila ni bar maid(kwangu sio kosa ila perception ya wanaonizunguka),bar yenyewe iko karibu na home ,nisipoenda atakuja kuniulizia home au kunipigia simu. Sitaki ku-do nae hata mara moja coz utakuwa mwanzo wa mazoea mabaya
Pili nimemweleza nina gf ingawa yuko mbali lakini bado kakomaa na mimi.
Simuombi ofa ya vinywaji ila akiniona tu nimefika bar tayari analeta. Nashindwa kukataa cz anaweza kuumia lakini namwonea huruma expenses anazo-incur kwangu cz chemistry haipo .
Nimeshawahi kuwa katika hali kama yake kwa binti mmoja for two yrs halafu mwisho wa siku nikaambulia za mbavu,najua maumivu niliyoyapata ctaki nimuingize binti wa watu ktk maumivu hayo.
Nitumie njia gani ya kistaarabu ili aweze kunielewa ,ninavyoandika thread hii binti amepiga simu mara 4
hivi kuna mwanaume mnywaji ambaye hajawahi kupenda baa medi???