<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=129646" target="_blank">mwekundu</a></b>;[video]Ne-Yo - One In A Million - YouTube[/video]
aya Madame B sina bahati........hiyo imekudond0kea 2014
[video]Ne-Yo - One In A Million - YouTube[/video]
aya Madame B sina bahati........hiyo imekudond0kea 2014
mmh loh !!!!!!!!! aya mapenzi haya
WAHI HUKU, uje na maelezo kwa nini hujajibu barua ya watu?kwa nini hupokei simu mpaka mtu anajitundika hewani?madame B
Madame B
Nakupenda sana mwenzio
Usiku silali nakuota wewe
Nikinywa maji kwenye glasi nakuona wewe
Nikitembea nakuwa kama nimeushika mkono wako.
Nikiona tu jina lako moyo wangu unastuka
Nikisoma Comment zako najisikia raha ya pekee
Nimeshakusemea kwa mama kuwa nakupenda
Wewe ndiye malkia wa mtima wangu
Macho yako mazuri madame B
Sura yako inavutia mithili ya tausi wa pale ikulu
Umbo lako zuri kama vile cleopatra
Hapa nilipo sina hali Madame B
Madame B hujajibu barua yangu
Nilikuelezea hisia za moyo wangu
Madame B kubali kuupooza moyo wangu
Nateseka mwenzio sina hali.
Madame B nikikupigia simu haupokei
Nikikutumia meseji haujibu
Nifanye nini unielewe Madame B
Ntakununulia Chochote unachotaka mama.
Wana JF nisaidieni kumpata Madame B
Nimekonda mwenzenu kwa kumuwaza madameB Evelyn Salt uko wapi? Smile uko wapi? Mentor uko wapi? Karucee mama... Nyani Ngabu nisidieni......
Mapenzi yamefanyaje?
kama kamari vile
Tatizo labda haujishughulishi
Naona umechoka kuishi na pia huzipendi kucha zako pamoja na hayo memo yako ambayo yatatolewa kwa spana malaya
Evelyn Salt nisaidie mwenzio...mapenzi yananitesa mwenzenu...nimekufa nimeoza...sina hali kwa binti huyu...umbo lake nikimwona tu napata ganzi...yaaani we acha tu...nisaidie kusemezana na rafiki yakoLeo Roho yako itasuuzika hadi uhisi uko wapi sijui, make najua atakuja na bashasha zake utafutahi....vuta subra!!!