Nakupenda mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakupenda mwalimu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BIN BOR, Jan 14, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mtendeni alipiga picha ya pamoja na wanafunzi wote wa shule yake, akasafisha kopi kibao na kuhamasisha watoto wote wanunue. Akapiga debe akisema:-

  "Hebu fikiria, mtakapokuwa wakubwa mtaangalia picha hii na kusema 'ona, huyu ni Juma, sasa ni waziri wa elimu, ona, huyu ni Pendo, waziri mkuu' kwa hiyo nataka wote mnunue nakala ya picha hii kama kumbu kumbu."

  Mtoto mmoja akagoma kununua na akamwambia mwalimu, " Mimi siwezi kununua kwa sababu nakupenda mwalimu. Wakati tutakapokuwa tunaoneshana mawaziri na wakurugenzi, wengine watasema' Ona, huyu ndiye mwalimu mkuu wetu, sasa ni marehemu........"

  Mwalimu akadondoka, akazimia.
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  True
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha!
  Kweli jamani.
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  duh...!
   
 5. S

  Simeon Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ni viboko sanaaaa!mkosa adabu huyo!
   
 6. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kha
  kaazi kwelikweli
   
 7. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hlo nalo neno ila dogo hupo sawa ila kibongo bongo anakula mikwaju mpk
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  hata mi ningezimia,ukweli mbaya saa nyingine................lol
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Kifo kipo palepale tunaogopa kutangulia tu
   
Loading...