Madukanirau
Member
- Mar 12, 2019
- 6
- 33
newly weds, jipe muda kwanza! hii inaitwa puppy love au infatuation au limbwata.Mke wangu Marium,nampenda sana,nikiwa nae ndani huwa anapata raha sana,ninafua, ninapika..ninamsaidia kuosha vyombo...,sometime ninamuogesha mtoto!
Na ninarudi nyumbani SAA 10 jioni!
Mama natashahrani,nakupenda sana!
Usimshauri mwenzio ujinga ....ndiyo majukumu yake hayoKakutengeneza huyo..shtukaaa jombaa
Mda wa kukaa bar unakaa na mkeo kupika?
Mashallah huba hubaniMke wangu Marium,nampenda sana,nikiwa nae ndani huwa anapata raha sana,ninafua, ninapika..ninamsaidia kuosha vyombo...,sometime ninamuogesha mtoto!
Na ninarudi nyumbani SAA 10 jioni!
Mama natashahrani,nakupenda sana!
Mkuu ungemfata inbox.Ashaisoma,yupo humu
GhasalikeMang’ana
Tunapendana
Walevi bwana[emoji134][emoji134][emoji134]Kakutengeneza huyo..shtukaaa jombaa
Mda wa kukaa bar unakaa na mkeo kupika?