Nakupenda jinsi ulivyo we mdada

Nakupenda jinsi ulivyo we mdada

nimeogopa sana maana huu ubonge unanitishia amani .kumbe mimi mzuri ? nakuja kesho mkuu
 
Nakuja maana...mi mwenzio mbele hapachezi wala nyuma hapatikisiki
 
Fafanua mkuu, unajisikiaje unakutana na Dada wa watu shapeless watu wanamsema au hana hata wa kumwangalia hata kumsalimia tu? Sasa mimi hao ndo nawatafta niwapoze
Umenichekesha sana aisee. Kwa hiyo umeamua kutoa huduma ya faraja kwa wanawake waliokata tamaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom