mmmmhhhhh!!! nakupenda lakini naogopa kukwambia, ila unajua kuwa na kupenda coz matendo yangu, macho yangu yanapokuangalia yanasema hivo, sauti yangu ninapoongea na wewe inatamka kuwa nakupenda iliyobakia ni kukushika mkono tuu tuongozane ufukweni mwa bahari mwendo mdogo mdogo wa kuongea na kucheka.
Me love you ..... dash dash dash (.......) mtu wangu wa nguvu!!!