Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%
hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.
(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)
Lazima umpe enough rioom aiseeha ha ha, hujatulia.
Uulize how afu aanze kujielezea kumbe ww una upendo wa baibo?
Ni vema kuwa muwazi tu mtu anapokwambia NAKUPENDA mjibu vile unavyojisikia. Kama na wewe unampenda mwambie NAKUPENDA PIA, na kama humpendi mwambie NASIKITIKA MIMI SIKUPENDI, na kama huna uhakika mwambie KWA UPANDE WANGU SIJUI.
unaanza kuvaa kyupi iliyolegeaa, unaifunga na 'barabendi' pembeni au pini.
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%
hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.
(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)
Du! mi nshakuwa rude mara kibao tu......nakupenda kwa mara ya kwanza kutamkwa na mtu, ni wazi kwamba inajibiwa kwa neno 'Asante'. kisha waweza kuongeza vijimaneno kama asante kwa upendo wako kwangu.namna hii humfanya mtu awe na atleast amani ya kupokelewa kwa moyo wa shukurani.
kwa mtu ambaye mmezoeana vile mwenza ama bf asemapo nakupenda ni wazi kwamba wewe unayeambiwa unatakiwa uwe na feelings juu ya upendo wake kwako kwa wakati huo. yaani atamkapo neno ama maneno haya yafungue mlango wako wa fahamu uone unapendwa na kuna mtu anakujali hivyo lazima umjibu 'nami pia nakupendwa mpenzi wangu' namna hii ya majibu huuisha mapenzi na furaha kati yenu.
Mpenzi wangu nae wkt mwingine huwa anajibu asante lkn huwa silifurahii na huwa najiuliza maswali kibao kwasbabu sijui huwa anamaanisha nini ila kazi kweli kweli jaman ukijibiwa "asante"
now this is rude,:nono::nono:
have you ever been loved?