Inatakiwa kujibu,Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%
hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.
(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)

hivi upendo ukipoa hali inakuwaje?inategemea unayemjibu yani mkeo/mumeo akwambie nakupenda umjibu ahsante, lol kwahiy unakuwa humpendi au? kamamtu tu hauna uhusiano naye wowote au ndo anataka mahusiano sawa unatakiwa jibu vile unavyojisikia moyoni, lakini kwa kesi ya mume na mke hapo labda unambie kuwa upendo umepoa haupo tena
unaweza kuwa na feelings na mtu kama humpendi? mi nachojua unaweza kuwa na upendo na mtu ila usiwe na feelings zakeWhat do u mean by 'humpendi'?
Kutokuwa na feelings na mtu maana yake humpend?
Asante ikiongezewa maneno 'urudeness' unaweza usionekane.
inategemea unayemjibu yani mkeo/mumeo akwambie nakupenda umjibu ahsante, lol kwahiy unakuwa humpendi au? kamamtu tu hauna uhusiano naye wowote au ndo anataka mahusiano sawa unatakiwa jibu vile unavyojisikia moyoni, lakini kwa kesi ya mume na mke hapo labda unambie kuwa upendo umepoa haupo tena
African way hatuna hiyo makitu!
Ni kujaribu kutafsiri tamaduni za weupe!
Inatakiwa kujibu,
Oh! Real? How? How can i trust you!
Baada ya hapo, stay tuned upate ma-sound ya ukweli! UKishasema, Ahsante; arrgh, unakata stimu aisee, manake ndo unakuwa ushaleta upendo wa kwenye Biblia!!
unaweza kuwa na feelings na mtu kama humpendi? mi nachojua unaweza kuwa na upendo na mtu ila usiwe na feelings zake
What do u mean by 'humpendi'?
Kutokuwa na feelings na mtu maana yake humpend?
Asante ikiongezewa maneno 'urudeness' unaweza usionekane.
Asante ni kwamba unashukuru kwa upendo wake kwake
ila kwa upande mwingine wewe humpendi
so huna cha kumpa zaidi ya shukrani, ujue kupata mtu anaekupenda kazi sana
kwa hiyo mme na mke lazima umjibu 'nakupenda' hata kama kwa wakati huo hujisikii hivyo?
Umjibu tu kwa PR reasons?
Je kwa mtu anayenyemelea mahusiano ni fair kusema asante?