babu jaribu biko au tatu mzuka unaweza bahatika mzeee.. vyuma vimekaza aiseeeNakupa lapotop unanipa baiskeli na hela kidogo
Location Arusha
Sifa ya laptop
Core i3
Ram 4gb
HDD 500
Processor 2.13
Haina tatizo lolote
Lile aina ya baiskeli ninayoitaka
Inaitwa ivite
Hyo apo
Niko serious
Nimevurugwa mwenye nayoo ani pm
aina ya baiskel unayohitaj bei yake inaanzia milioni moja na kitu na hiyo laptop ni ya laki nne, hapo hesabu zimekaaje mkubwaNakupa lapotop unanipa baiskeli na hela kidogo
Location Arusha
Sifa ya laptop
Core i3
Ram 4gb
HDD 500
Processor 2.13
Haina tatizo lolote
Lile aina ya baiskeli ninayoitaka
Inaitwa ivite
Hyo apo
Niko serious
Nimevurugwa mwenye nayoo ani pm
Nakupa lapotop unanipa baiskeli na hela kidogo
Location Arusha
Sifa ya laptop
Core i3
Ram 4gb
HDD 500
Processor 2.13
Haina tatizo lolote
Lile aina ya baiskeli ninayoitaka
Inaitwa ivite
Hyo apo
Niko serious
Nimevurugwa mwenye nayoo ani pm
Ni kweli Mkuu....!!Kuna baiskel niliulizia mahali zile za mashindano nikaambiwa milion 25 sijui kama ni kweli au walitaka kuniingiza mjini