Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,028
- 168,647
Mentor hii ni kwa ajili yako.Iko ki spanish au kuna ya english!??
watu8 natamani kumcopia measkron ila ngoja nipotezee nisijekuharibia maana naona umeshaanza kuiga tabia za Vin Diesel
Nani huyo kaanza tabia kama yangu ya kumpenda Mamndenyi...nitaua mtu.watu8 natamani kumcopia measkron ila ngoja nipotezee nisijekuharibia maana naona umeshaanza kuiga tabia za Vin Diesel
Ngoja Kipipi aje kunitolea tafsiri...
Cha Michenzani kimechanganyikana na Kimakunduchienglish kwangu ni matatizo na hiki ndio ki lugha cha wapi jamani?